Watanzania wanaotumia mita za luku za maji tukutane hapa

Kama ni Maji,jina haliwezi baki hivyo, kwa kuwa kirefu cha LUKU ni
L-Lipa
U-Umeme
K-Kadili
U-unavyotumia

Labda ungesema tunaotumia mita za Maji za Prepaid, tukutane..
Asante
lipa maji kadiri unavyotumia. kwahio mita zitaitwa za LMKU
 
Labda za mchongo, hivi suala la ukinunua luku moja kwa moja umeme unawaka bila kujaza token liliishia wapi?
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…, jamaa unakumbukumbu sana, mimi nilikuwa nimeshasahau. Labda kwakuwa bwana Kipala alitolewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…