Watanzania wanapenda nchi yao kweli kweli

vulcan

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
1,742
Reaction score
2,459
Watu wa bongo mko very positive and optimistic even in defeat, Wakenya team yetu ikishindwa tunaanza matusi kwa wachezaji.

Sawa ila ule mpira tuliocheza ulikuwa mbovu. Sio standard kama jamaa anavyosema[emoji2]
 
Nimependa hapo jamaa anakiri kwamba ile tu kucheza na Senegal na kufungwa mbili ni ushindi mkubwa, ni kama unayepigana na bouncer, hiyo kweli maana kuna kipindi Tanzania ilipigwa mabao saba na nafikiri ilikua Algeria hao waliotupiga mbili.

Lakini mimi sitajifariji kwa upuzi wa mediocrity, kwani wale ndio kina nani, timu ikienda kwenye ushindani iende kwa nia ya kushinda sio kupunguza au kupangua mapigo, eti hatukupigwa sana.
 
Hehehehe, Sasa mbona unajichanganya mzee, soma tena ulivyoanza na ulivyomaliza[emoji2][emoji2][emoji2]
 
  • Thanks
Reactions: Oii

Mmhh embu tulie usome ulicho andika
 
The psych bias of no direction or contradictory statement.
 
Hehehehe, Sasa mbona unajichanganya mzee, soma tena ulivyoanza na ulivyomaliza[emoji2][emoji2][emoji2]

Mbona nimeiweka sawa, kwamba jamaa amenifurahisha kwa comedy ya yeye kukiri ile tu wamecheza na Senegal ni kupandishwa hadhi, na kwamba wamepigwa mawili tu, ni ushindi, ila likija kwa mimi binafsi kauli za kusheherekea mediocrity sina, nikijitokeza kwa jambo tegemea tutang'atana humo mpaka mwisho.
 
Nimependa hapo jamaa anakiri kwamba ile tu kucheza na Senegal na kufungwa mbili ni ushindi mkubwa, ni kama unayepigana na bouncer, hiyo kweli maana kuna kipindi Tanzania ilipigwa mabao saba na nafikiri ilikua Algeria hao waliotupiga mbili.

Lakini mimi sitajifariji kwa upuzi wa mediocrity, kwani wale ndio kina nani, timu ikienda kwenye ushindani iende kwa nia ya kushinda sio kupunguza au kupangua mapigo, eti hatukupigwa sana.
Hivi We ni Mkenya au Mtanzania?
 
Back
Top Bottom