Mzalendo Uchwara
JF-Expert Member
- Jan 26, 2020
- 4,437
- 13,836
"Systemic problems requires systemic solutions"
Kuna tofauti kubwa kati ya kiongozi aliye kulia kwenye mazingira ya kimasikini kama watanzania wengi, anakuwa na uwezo wa ku 'sympathize' na matatizo yao.
Sasa hawa vijana waliokulia kwenye majumba ya serikali huku familia zao zikilipiwa kila kitu ni kama hawaelewi struggles za wananchi wenzao.
Unadhani kuna mtu anapenda kupikia kuni??? Unadhani kuna mtu anapenda kufanya kazi ya mama nitilie barabarani? Unadhani kuna mtu anapenda kufanya umachinga?
Watu wanafanya haya kwasababu ya umasikini. Hauwezi kuyatatua haya matatizo kwa kufanya maonesho na kutoa elimu ya 'matumizi ya gesi majumbani'.
Kila mtu angependa kupikia gesi, hawapikii kwakuwa hawana uwezo wa kumudu hizo gharama. Tuache kuwadhihaki watu kwa mambo ya ajabu ajabu.
A systemic solution is to eradicate/ reduce poverty. Au ifanye gesi iwe bei nafuu kiasi kwamba watu wasiwe na sababu ya kutaka kutumia kuni/mkaa. Watu wata switch wenyewe kwenda kupikia hizo gesi.