Simplicity.
JF-Expert Member
- Dec 19, 2013
- 2,636
- 1,662
Wakuu,
Kuna jambo moja limenishtua na nikaona tushirikishane. Jana niliona snapshot ITV kuhusu mzee mmoja akizungumzia swala la elimu nchini, aliongea kwa masikitiko makubwa na kuhitimisha kwamba Watanzania hawahitaji Elimu, wanachotafuta ni ni vyeti. Imenishangaza sana kwa sababu ukimwangalia mzee mwenyewe utajiuliza, anawezaje kujua umuhimu wa Elimu?
Ushauri wangu ni kwamba watu wabadilike na kutafuta zaidi kuwa na elimu ambayo ndiyo itatukomboa mtu mmoja mmoja na taifa kwa ujumla na sio vyeti!