Watanzania wanataka haki zinazogusa maisha yao. Utekaji na mauaji havikubaliki kamwe

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
29,314
Reaction score
93,919
Moja ya jambo aloingizwa Mkenge Hayati Magufuli akaja kushtuka Mwishooooni kabisa akiwa amechelewa ni Masuala ya Utekaji na Watu kuokotwa Ndani ya Viroba, kutowadhibiti walojaribu Kumuua TUNDU LISSU

Binadamu ameumbwa kuumia linapokuja suala la UHAI WA MWENZAKE.

Kujenga Mabarabara, Mwendokasi, SGR sio inshu kabisa. Kwa sababu Mamilioni ya Watu watakufa hawajawahi kutumia SGR.

Lakini ,Uhai Wao ndio Zawadi yao!!.

Jambo la kujiuliza, toka muanze Kuteka, Kuua, kutupa Miili mabarabarani, Kumesaidia kuleta Mabadiliko yoyote yanayowapendeza nyinyi kama Watekaji?

Msiendelee Kuteka tu na Kuua kama sehemu ya Mazoea, Lazima mfanye Situational analysis.

Kisha mjiulize, Mtateka na Kuua mpaka lini?
 
Walianza enzi za Kikwete, lakini ndiyo kwanza idadi ya wakosoaji inazidi kuongozeka. Dr. Ulimboka ni mmoja wa wahanga wao wa kwanza kwanza.

Hawa watu vichwa vyao vimejaa mucus tu, havina brain!
 
Ila Mungu Fundi, CHADEMA wangeshiriki wangeangushiwa hili zigo. MiCCM imevuliwa nguo
 
Back
Top Bottom