Ulipe kodi kwenye kila bidhaa unayonunua- hiyo SAWA
Ukatwe Kodi (PAYE) toka kwenye mshahara - Hiyo SAWA
Hiyo hiyo pesa uliyonilipa mshahara na kodi yako umesha nikata, unaniwekea benki, nikienda kuichukua bado unaifata tena unaikata TOZO- HII SI SAWA.
KUNA BIASHARA GANI AMBAYO IMETOA FAIDA HAPO HADI UCHUKUE TENA FEDHA YANGU, (kumbuka benki nayo wamekata pesa ya kuku hudumia na kodi ya serikali humo humo), bado pesa hiyo hiyo ukinunua chochote serikali anakuongezea bei 18% anachukua.
Pesa hiyo hiyo ambayo ulishalipa kodi wakati anakulipa mshahara, ukiamua kumtumia babu,bibi,baba,mama kijijini ili ziwasadie, serikali anakata kodi na Tozo wakati wa kutuma, na wazee wasio na uwezo tena akipokea kule kijijini serikali tena ana mkata kodi na tozo huyo babu au bibi anayepokea.
SASA KUNA BIASHARA GANI IMEFANYIKA KWA MTUMAJI NA MPOKEAJI? NI UKATILI WA KIMADARAKA, ETI WEWE MWIGULU NCHEMBA? UNAJIITA PhD WEWE?
TUNA ENDELEA KUMWACHIA MUNGU