Ni bora angesema hivyo ndivyo inavyotakiwa kwa akina Mama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki ndio wanavyotakiwa Wafanye kwa Sababu Burundi inaongoza kwa Unyanyasaji wa Wanawake.Nyuzi ilikuwa ni nzuri lkn umeiharibu kwa udhaifu wako wa kijinga kutaka kuilinganisha na Tanzania let me tell you matukio kama hayo tz sio habari
Sent using my iPhone using jamiiforum app
Ingia kwenye Tovuti ya Sumatra.Tupe moja toka TZ
Hii ni kweli kabisa kiongozi, watu watalia nae hapo hapo mpaka kieleweke sio mpaka wakafikishane mahakamani.Kitu ambacho konda atakosea ajutie maisha yake yote ni kumnyanyasa abilia wa kike kwenye daladala.bora hata fanyie wa kiume atapewa uvumilivu kidogo.
Bongo watu sio agressive,ila wakiamua wawe,huwa inakuwa tabu.
View attachment 1043931
Mmiliki wa gari la matatu huko Meru Kenya ambamo mama na mwanawe walinyanyaswa na kulazimishwa kushuka kwa kupinga hatua ya kondakta kuongeza abiria kwa gari lililokuwa limejaa amefikishwa mahakamai na kufunguliwa mashtaka
Je watanzania wanaiweza hiyo?