GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
Inaonekana ni kati ya mazao yanayouzwa ghali sana. Sisi tunaoishi mikoa ya mbali na korosho inakolimwa, tumekuwa tukiuziwa korosho za kutafuna kwa bei isiyobadilika, miaka nenda miaka rudi. Kwa bei tunayouziwa mitaani na supermarket, inatoa picha kuwa ni bidhaa ghali kuzidi karanga, n.k.
Lakini sijawahi kusikia mtu ambaye amekuwa bilionea au hata milionea kupitia kilimo cha korosho.
Ni kwamba hawapo au wahusika wanajitahidi kujizuia wasijulikane?
Korosho ni ghali Tanzania, na inasemekana, huko ng'ambo, bei yake "haikamatiki"
Kulikoni hatuwasikii mabilionea waliotokana na kilimo cha korosho?
Kumbe wamo🙏Angekuwepo JPM angekujibu,thesis yake ya PHD ilihusu Korosho,ndio maana alidiriki kutumia jeshi kufanya biashara ya korosho.
Zitto kabwe ana mahekari ya mashamba ya korosho alihama from Tabata to Masaki Sababu ya Korosho.
Korosho ni dhahabu inayopandwa
Aisee!!!Kuna mtanzania juzi akiwa Canada aliomba kazi kiwanda cha yeboyebo ,jibu la mchina akamwambia kuwa mshahara Kwa mwezi ni shilingi 5000 akashangaa sana huyu mtanzania akasema mbona mshahara mdogo sana Kwa maisha ya Tanzania?Mchina akamwambia Sisi tulitaka tumlipe kila mfanyakazi shilingi 20000 Kwa siku LAKINI MAWAZIRI wa Tanzania wamewaambia walipeni fedha hiyo hiyo inatosha ,Sasa mtoa mada ukisoma comment yangu utaelewa namna watawala wa CCM wanavyofikiri
🙏🙏🙏Njoo newala huku utakuta mamilionea kibao wa korosho
🙏Angekuwepo JPM angekujibu, thesis yake ya PHD ilihusu Korosho, ndio maana alidiriki kutumia Jeshi kufanya biashara ya korosho.
Zitto kabwe ana mahekari ya mashamba ya korosho alihama from Tabata to Masaki Sababu ya Korosho.
Korosho ni dhahabu inayopandwa.
Soma comment kama hii halafu ujichanganye uende kufungua duka kubwa huko ukidhani vijana wa Mtwara na Lindi milioni 2, 3, 4, siyo issue, ndiyo utakiona.Brother kila msimu hupata milioni 20 akishuka milioni 15.
Wengi wanaipata pesa ndefu ila naona elimu ya matumizi sahihi ya pesa ni tatizo kwa wengi.
Vijana wa Lindi na Mtwara milioni 2, 3, 4 wanapata sana kupitia ufuta na korosho ila wengi huishia kununua mapikipiki tu
Hizo milioni 20 zinatokana na ekari ngapi?Brother kila msimu hupata milioni 20 akishuka milioni 15.
Wengi wanaipata pesa ndefu ila naona elimu ya matumizi sahihi ya pesa ni tatizo kwa wengi.
Vijana wa Lindi na Mtwara milioni 2, 3, 4 wanapata sana kupitia ufuta na korosho ila wengi huishia kununua mapikipiki tu
Wapo wengi tu ila hawataki kujitangaza mitandaoni. Kwa kuwa wenyewe hawajitangazi basi nami naficha majina yao ila ukitaka kujuwa ukweli fika Mtwara, Tandahimba, Nachingwea, Ndanda,, Masasi, Tunduru, Newala, na sehemu zingine za Kusini ukajionee matajiri wa huko.Inaonekana ni kati ya mazao yanayouzwa ghali sana. Sisi tunaoishi mikoa ya mbali na korosho inakolimwa, tumekuwa tukiuziwa korosho za kutafuna kwa bei isiyobadilika, miaka nenda miaka rudi. Kwa bei tunayouziwa mitaani na supermarket, inatoa picha kuwa ni bidhaa ghali kuzidi karanga, n.k.
Lakini sijawahi kusikia mtu ambaye amekuwa bilionea au hata milionea kupitia kilimo cha korosho.
Ni kwamba hawapo au wahusika wanajitahidi kujizuia wasijulikane?
Korosho ni ghali Tanzania, na inasemekana, huko ng'ambo, bei yake "haikamatiki"
Kulikoni hatuwasikii mabilionea waliotokana na kilimo cha korosho?
Yaani adui wetu tunae hapahapa!!!!!Kuna mtanzania juzi akiwa Canada aliomba kazi kiwanda cha yeboyebo, jibu la mchina akamwambia kuwa mshahara Kwa mwezi ni shilingi 5000 akashangaa sana huyu mtanzania akasema mbona mshahara mdogo sana Kwa maisha ya Tanzania?
Mchina akamwambia Sisi tulitaka tumlipe kila mfanyakazi shilingi 20000 Kwa siku LAKINI MAWAZIRI wa Tanzania wamewaambia walipeni fedha hiyo hiyo inatosha. Sasa mtoa mada ukisoma comment yangu utaelewa namna watawala wa CCM wanavyofikiri.
Sawa mkuu. Nitafanya hivyo.Wapo wengi tu ila hawataki kujitangaza mitandaoni. Kwa kuwa wenyewe hawajitangazi basi nami naficha majina yao ila ukitaka kujuwa ukweli fika Mtwara, Tandahimba, Nachingwea, Ndanda,, Masasi, Tunduru, Newala, na sehemu zingine za Kusini ukajionee matajiri wa huko.
😀Yaani adui wetu tunae hapahapa!!!!!
Yeye kasemaNi kweli Zitto Kabwe naye analima korosho
Hii Ni kweli kabisa. Wakanada walipokuja Bulyanhulu walikua tayari kulipa MISHAHARA ya kufa mtu. Wakuu wa wilaya na mkoa walipoona hiyo MISHAHARA Ni zaidi ya MISHAHARA wanayolipwa na serikali walitia timu pale Bulyi na kuwashawishi wakanada wafyeke hiyo MISHAHARA.Kuna mtanzania juzi akiwa Canada aliomba kazi kiwanda cha yeboyebo, jibu la mchina akamwambia kuwa mshahara Kwa mwezi ni shilingi 5000 akashangaa sana huyu mtanzania akasema mbona mshahara mdogo sana Kwa maisha ya Tanzania?