Blender
JF-Expert Member
- Mar 5, 2022
- 4,870
- 8,035
Tabia zisizo za kibiashara , Kuchungulia account za watu bila ridhaa yao,Wapo wengi tu mbona
Mfano nakupa na jina yuko mzee
Wangu mmoja yuko kiwangwa,ana deal na nanasi anaitwa mzee mikugo
Huyo ni hatari sana kifedha yuko vzr sana hata wakati wa utawala ule mambo ya kuchungulia ac walishanga
Kuona mtu Ana mpunga wa mrefu,mzee akawambia yeye mkulima tu
Ova
ndio maana wafanya biashara wanaficha pesa zao nje ya nchi