Watanzania wangapi wameshatajirika kupitia kilimo cha korosho?

Tabia zisizo za kibiashara , Kuchungulia account za watu bila ridhaa yao,
ndio maana wafanya biashara wanaficha pesa zao nje ya nchi
 
Hii ishu niliwahi isikia hata kwa
kkk security
Kakola Gold mine.
Nasikia hawa makaburu walipokuja TZ walitaka kulipa kama wanavyolipa SA sasa Mkapa na genge lake wakawakatalia.
Mpaka leo sijapata ushahidi kuwa ni kweli au la.
 
Mimi sio CCM wala sio shabiki wa magufuli na wala sio adui wa Samia ila kusema ukweli utawala wa magufuli haijawahi korosho kuaiibika na kushuka bei kama ilivyotokea kwenye utawala huu wa huyu samia,tunashangaa ninyi watu ambao sio wakulima wa korosho na wala sio wakasiwa huku kusini munasema eti magufuli aliharibu zao la korosho
 
Juzi tu wakulima wamegomea kuuza korosho zao kwa bei ya 1500 kwenye mnada ambapo mpaka makato yakishafanyika anabakiwa na 1240 chakushangaza wanaharaki wapo kimya laiti haya yangefanyika utawala wa magufuli kelele zingekuwa nyingi mno
 
Hakuna mkulma Tajiri mkuu
Mkulma ni kama muajirwa tuu kwa Africa
 
Yaani adui wetu tunae hapahapa!!!!!
Adui yetu ni yule yule toka tumepata uhuru. Yani mtu anataka kulipa kwa scale za kwao au ulaya unalazimisha watu walipwe kidogo. Hapo ili tu watu wasiwe na uchumi Imara sababu watu wakijiweza hawatavumilia upumbavu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…