Hata mimi nashangaa, kwa nini tesitengeneze ARV hapahapa. Dah hii nchi raia tuna uvumilivu sanaWasizwa wameweka kodi ya kujenga reli kwenye kuingiza magari sasa hivi wamepenyeza mguu mpya wa Ukimwi kwenye magari hao jamaa ni kiboko hayo madawa tunaweza kutengeneza hapa hapa kwetu kama Zimbabwe hapo ila sisi tunafikiri kila siku 30% ya kuagiza nje huku wananchi wakiumizwa kwa mzigo mkubwa wa Kodi..
Mtu anatoka ofisini kutangaza kuwa tununue ARV nje ya Nchi na hawana mpango wa kuwa na kiwanda hapa na ndio wasomi wetu hao ukiwauliza wanasema haiwezekani kabisaa..Hata mimi nashangaa, kwa nini tesitengeneze ARV hapahapa. Dah hii nchi raia tuna uvumilivu sana