Licha ya kwamba watanzania ni waoga, au kwa lugha nyingine ni waoga sanaa, matatizo yetu kwa hali ilivyo sasa, there is nothing we can do! It looks like too late!!
Matatizo ya watanzania ni yaleyale yaliyoainishwa tangu uhuru yaani:-
UJINGA
UMASKINI
MARADHI
Mtu mjinga hawezi kujua haki zake na wala jinsi ya kuzidai. Maskini hawezi kufikiria tatizo la umeme kwani kwake mlo wa siku ni muhimu zaidi ya umeme. Mtu mgonjwa kipaumbele chake ni kutibiwa hawezi kujishughulisha na mambo mengine na umeme ukiwepo.