watanzania waoga?

watanzania waoga?

FYA PANDOMO

Member
Joined
Jun 8, 2010
Posts
27
Reaction score
4
tatizo la umeme na bado wananchi wapo kimya ni uoga au ndio kupenda amani?
 
Licha ya kwamba watanzania ni waoga, au kwa lugha nyingine ni waoga sanaa, matatizo yetu kwa hali ilivyo sasa, there is nothing we can do! It looks like too late!!
 
Sidhani kama hii thread hapa ni mahala pake,itahamishwa,ikihamishwa ndo nitachangia!
 
tatizo la umeme na bado wananchi wapo kimya ni uoga au ndio kupenda amani?

Matatizo ya watanzania ni yaleyale yaliyoainishwa tangu uhuru yaani:-
  1. UJINGA
  2. UMASKINI
  3. MARADHI
Mtu mjinga hawezi kujua haki zake na wala jinsi ya kuzidai. Maskini hawezi kufikiria tatizo la umeme kwani kwake mlo wa siku ni muhimu zaidi ya umeme. Mtu mgonjwa kipaumbele chake ni kutibiwa hawezi kujishughulisha na mambo mengine na umeme ukiwepo.
 
Back
Top Bottom