Watanzania waomba Barclays mkopo kwa ajili ya SGR na Stieglar's Gorge

Na ndo tumeanza sasa kwa fedha zetu uko kwingine tutakopa kuliko nyinyi mlomwachia mchina Kila kitu
 
Na ndo tumeanza sasa kwa fedha zetu uko kwingine tutakopa kuliko nyinyi mlomwachia mchina Kila kitu
Haina shida, Sisi hulipa madeni yetu...
Ombeni mpewe hio mikopo manake hadi sasa mnasign mikataba lakini hakuna hata mfadhili mmoja ame commit kutoa pesa kwa ku sign karatasi
 
Haina shida, Sisi hulipa madeni yetu...
Ombeni mpewe hio mikopo manake hadi sasa mnasign mikataba lakini hakuna hata mfadhili mmoja ame commit kutoa pesa kwa ku sign karatasi
Wasipo tupa tunaweza jenga kwa fedha zetu waulize wachina walivyotoa masharti magumu kama walivyowapa nyi maboya nin tulifanya
 
Reactions: Oii

Kumbe kichwa chako kimejaa mavi tu......
 
Wasipo tupa tunaweza jenga kwa fedha zetu waulize wachina walivyotoa masharti magumu kama walivyowapa nyi maboya nin tulifanya
Just like Uganda, mlipewa masharti magumu, na mengine ya kuchekesha kwasababu mchina alikua ana hofu hamna uwezo wa kulipa deni kubwa..unlike Kenya and Ethiopia.

Binafsi sikubaliani kabisa na sgr maana kwa maoni yangu haina faida kwa nchi zaidi ya hasara,kama vipi waishie Dom tu then wajenge dry port,tunahitaji barabara zaidi kuliko reli
 
Just like Uganda, mlipewa masharti magumu, na mengine ya kuchekesha kwasababu mchina alikua ana hofu hamna uwezo wa kulipa deni kubwa..unlike Kenya and Ethiopia.

View attachment 689415
Masharti tulopewa ni kama yenu napili kama tungekua tunashindwa kulipa tungeweza 300km na fedha zetu
 
Ubabe tunao ndio maana tunajenga mamia ya kilometers kwa pesa zetu wenyewe na hatubabaishwi na pesa za masharti kama pesa za ndagu au kimbola kama mlivyo nyie wachina wanawapapasa naniliu nje nje live bila chenga
 
Tunajenga na pesa yetu,wabongo na michezo ya kuigizaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€aibu tupu! !!!
 
Huna hoja
 
Hapa kila mmoja atasema lake na lawama kemkem lkn siku hizi Project zikikamilika naimani kila mmoja atasema β€œhakuna kama JPM tz hii”
Tuombeni uzima tu na afya njema
β€œMark My Words”[emoji1321]
 
Binafsi sikubaliani kabisa na sgr maana kwa maoni yangu haina faida kwa nchi zaidi ya hasara,kama vipi waishie Dom tu then wajenge dry port,tunahitaji barabara zaidi kuliko reli
Asante kwa Mawazo yako,
Tunajenga Reli ya kisasa hadi Kampala.
 
Viwanda 80 vimejengwa wapi ????? Au angani havionekani
niliwahi sikia kuwa kila mkoa unatakiwa uwe na viwanda 100 sijui 250, tayari vishajengwa, mie huku nilipo naona kuna cha samaki lakini sio cha serikali,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…