Watanzania waomba Barclays mkopo kwa ajili ya SGR na Stieglar's Gorge

Hapa kila mmoja atasema lake na lawama kemkem lkn siku hizi Project zikikamilika naimani kila mmoja atasema “hakuna kama JPM tz hii”
Tuombeni uzima tu na afya njema
“Mark My Words”[emoji1321]
zikamilike kwa pesa zetu na sio kuomba, si mlituambia ni pesa zetu ndio zinazojenga, sasa kimuhemuhe cha nini, wacha tulipie passport nadhani nazo zitachangia hiyo miradi
 
Tunaomba au tunakopa??
Mkuu jaribu kuwa muelewa hizo project mbili ni kubwa saaana na zitaweka historia nchini zikikamilika
 
Kwa mwendo huu halafu ujidai kutaifisha makinikia kweli tunachezeana micheoz ya kitoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…