Muyobhyo
JF-Expert Member
- Oct 9, 2014
- 8,149
- 6,547
zikamilike kwa pesa zetu na sio kuomba, si mlituambia ni pesa zetu ndio zinazojenga, sasa kimuhemuhe cha nini, wacha tulipie passport nadhani nazo zitachangia hiyo miradiHapa kila mmoja atasema lake na lawama kemkem lkn siku hizi Project zikikamilika naimani kila mmoja atasema “hakuna kama JPM tz hii”
Tuombeni uzima tu na afya njema
“Mark My Words”[emoji1321]