Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Wanasarakasi kutoka Tanzania, Fadhili Ramadhani na Ibrahim Hamisi waliiwakilisha Tanzania katika jukwaa la kusaka vipaji, Australia's Got Talent.
Wawili hao ambao wanajiita "Ramadhan Brothers" walionesha umahiri mkubwa kwenye sarakasi na michezo hatari hali iliyofanya majaji wote wawakubali.
Hii ilikuwa mara yao ya kwanza kupanda katika jukwaa kubwa. Ikiwa watashinda watapata kitita cha dola 100,000 sawa na takribani Tsh. Milioni 233.