Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Na hata wasioshikiwa akili na CCM huwa wanafanya vizuri.Wametisha aisee. Kumbe Watanzania wasipobeba mwenge wanaweza kufanya vizuri sana kimataifa
Mkuu hatari sana wamewakilisha kibabe sana sasa hapo sijaelewa ndo kusema wameshinda amaWametisha aisee. Kumbe Watanzania wasipobeba mwenge wanaweza kufanya vizuri sana kimataifa
Hhhhhhhhhhh buji kila nikiona comments zako nacheka sanaaWametisha aisee. Kumbe Watanzania wasipobeba mwenge wanaweza kufanya vizuri sana kimataifa
Bora ucheke tu, maana hamna jinsi, maisha ni haya hayaHhhhhhhhhhh buji kila nikiona comments zako nacheka sanaa
Maisha ni mafupi mnooBora ucheke tu, maana hamna jinsi, maisha ni haya haya
hawa jamaa wametisha nawaombea muendelez mzur kwny hatua zijazoWanasarakasi kutoka Tanzania, Fadhili Ramadhani na Ibrahim Hamisi waliiwakilisha Tanzania katika jukwaa la kusaka vipaji, Australia's Got Talent.
Wawili hao ambao wanajiita "Ramadhan Brothers" walionesha umahiri mkubwa kwenye sarakasi na michezo hatari hali iliyofanya majaji wote wawakubali.
Hii ilikuwa mara yao ya kwanza kupanda katika jukwaa kubwa. Ikiwa watashinda watapata kitita cha dola 100,000 sawa na takribani Tsh. Milioni 233.
eeh $1 millionHivi hyo Golden burzer huwa wanapata hela eee
Hawajaiwakilisha Tanzania...kwani walipewa nauli na Mwigulu?Wanasarakasi kutoka Tanzania, Fadhili Ramadhani na Ibrahim Hamisi waliiwakilisha Tanzania katika jukwaa la kusaka vipaji, Australia's Got Talent.