Watanzania wapata Golden Buzzer Australia's Got Talent

Nimewafurahia sana. Na wafike mbali hata nchi yetu iwe inatajwa tajwa, tuko nyuma mnoo.
 
Pongezi zote ziende kwa mheshimiwa Raisi wa awamu ya sita Samia Suluhu Hasan kwa sera nzuri.
Yule katili alikuwa anazuia watu kutoka nje ya nchi😡
 
Hongera kwao Ramadhan Brothers,Kwa kweli huko mbele Jamaa watafika mbali sana.
 

Ramadhani Brothers from Tanzania wamewakilisha vyema kabisa na sarakasi za maajabu makubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…