Watanzania wapo kwenye 3 bora ya nchi za kijanja Afrika

Nadhani mnaichukulia poa sana TZ , na kwakuwa haya maneno nimezungumza mzawa but trust me we are doing very well in many aspects
No body ataamini empty words , huna data , huna facts, huna any supportive data

Naongea kma m tz ambae amesoma nje, ameishi nje kwa muda mrefu

Kuna nchi haswa za europe , east africa kenya ndio inafahamika zaidi lakini si tz

Si kwamba naichukulia poa ila ndio reality, tz mnajikuza sana kuliko uhalisia
 
Kufahamika kwa Kenya sio kigezo kwamba ndio wapo ahead yetu sisi, hata Haiti inafahamika kuliko South Africa , lakini ni kati ya nchi maskini kupita maelezo , zingatia the world nowadays is so much open , we have access of alot of information bila hata kuzunguka , kutokana na kukua kwa technology ya mawasiliano. Hakuna nchi East Africa ya kuifananisha na TZ na ndiomanaa tupo midomoni mwa majirani zetu , ni ndoto ya kila mu Afrika mashariki kufika TZ
 
Blah blah blah, nenda nchi za nordic, uliza a stranger tanzania ni wapi, uambulie majibu ya ajab
I had to explain ni east africa , near kenya

Kupata international recognition is not easy, unajiona great huko ndani, ile nje tz ni regular country, ni cha maana ambacho mna contribute to this world mpaka mataifa ya nje yawatambue?
 
Wale nao washamba sana, sijui kama wamebadilika siku hizi. Eti Kilimanjaro is in Chenya maana yake Kenya.
 
Back
Top Bottom