MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
- Thread starter
- #141
Mtoto MK254 hivi umewahi kutoka nje ya Kenya hata kidogo? Kama umetoka nje ya Kenya huwezi kuongea ujinga huu, you have a mentality ya mtu asiye na exposure na nchi zingine zaidi ya Kenya. Fika Europe, Asia, utaona kuwa English is nothing na as a matter of fact there are many countries in Europe who don't like speaking English, they don't see the importance of it. Nyerere na Mze Kenyatta walikuwa ahead of their time to adopt Kiswahili as our main language because hawakuona umuhimu wa adopting colonial language as our main language provided we were independent. Tanzania succeeded and Kenya failed miserably, thus led to you guys kuwa na ubaguzi wa ukabila. You failed your father of the nation, badly. I hope, you do understand speaking English siyo kuwa na akili...you know this, right?
Wacha kudandia treni kwa mbele, umekurupuka hata huonekani kuelewa tunajadili kuhusu nini, au mada imetokea wapi, unajibu ilmradi uonekane na wewe upo.
Hakuna sehemu nimebisha kwamba kuna mataifa yasiyokitumia kingereza, mbona yapo tu mengi ambayo yana lugha zao za asili walizoanza kuzitumia viwandani zaidi ya miaka 500 iliyopita hata kabla kingereza hakijafika kwao, lakini muda wote nasisitiza umuhimu wa kingereza ambao umesaidia watu wa matabaka mbali mbali kukutana na kujadili. Ni kama vile Mnyakyusa akitokea kijijini akutane na Msukuma inawabidi watumie Kiswahili. Ni issue ndogo sana ya kueleweka na mtoto wa chekechea, tatizo lenu huwa mumeganda kiakili hata ukiambiwa vipi huonekani kuelewa.
Na hakuna sehemu nimesema kuongea kingereza ndio ishara ya kuwa una akili sana, ila pia ina hadhi yake maana ni second language kwetu sisi hivyo ina maana umetia jitihada kwa kutumia ubongo wako kujifunza lugha ya pili. Na pia utafiti wa kisayansi uligundua watu wenye uwezo wa kuongea lugha kadhaa wamepevuka kiaina.
Sisi Wakenya tunakipenda Kiswahili, tunakitambua kama lugha yetu ya taifa, tunakifunza mashuleni, tunakitumia kitaani.....lakini tofauti yetu na nyie ni kwamba sisi hatujaganda kwenye lugha moja kama mazombi, tunajitahidi kuendana na wakati, tunajifunza na kutumia kingereza pia, na zaidi tunahamasisha watoto wetu wajifunze lugha zetu za asili za Kiafrika.