Kenya ni nchi inayoendelea kwa kasi katika nchi zilizopo africa mashariki na kati ...hata ndugu yetu mtanzania benjamin Fernandez kaamua kwenda kuwekeza kenyaKenya haijaendelea
Ubaguzi wa rangi kwa zaidi ya miaka 30 ni excuses ya kipuuzi ambayo bado inatumika SA na US ili ku justify failuresNchi kama Zambia au Malawi haziwezi kuwa kama Qatar au Singapore kwa sababu nyingi sana, ila Tanzania inawezekana.
Burundi imekuwa nchi ya vita
Japo ANC ni tatizo Africa Kusini lakini kama nchi ina miaka 30 tu tangu kumalizika kwa ubaguzi wa rangi ulioacha legacy mbaya sana na itakayohitaji muda mrefu zaidi kuirekebisha.
Si tu kuwa Zambia au Malawi haziwezi hata Tanzania haiwezi imeshindwa.Nchi kama Zambia au Malawi haziwezi kuwa kama Qatar au Singapore kwa sababu nyingi sana, ila Tanzania inawezekana.
Burundi imekuwa nchi ya vita
Japo ANC ni tatizo Africa Kusini lakini kama nchi ina miaka 30 tu tangu kumalizika kwa ubaguzi wa rangi ulioacha legacy mbaya sana na itakayohitaji muda mrefu zaidi kuirekebisha.
Zambia na Malawi hawana rasilimali mfano wa Singapore, Tanzania ina rasilimali kuliko Singapore.Si tu kuwa Zambia au Malawi haziwezi hata Tanzania haiwezi imeshindwa.
Zambia na Malawi hawana bandari waliyo nayo Singapore ambayo kwa mwaka wanakusanya mapato hadi ya $b7.Kama unazungumzia rasilimali akili upo sahihi tofauti na hapo haupo sahihi.
Switzerland imezungukwa na Ufaransa, Ujerumani, Italia na Austria.Ambayo ni asilimia ndogo tu ya GDP ya SG inachangia
Switzerland hawana bandari kama ya SG
Ndio, majirani wanaokuzunguka wana athari na mchango mkubwa sana katika maisha yako jinsi utakavyokuwa.Unataka kumaanisha kuwa wajinga wamezungukana na werevu wamezungukana hivyo utofauti lazima uwepo, nimekupata.
Kwahiyo hapo ndio nimeandika Kupata maendeleo NILAZIMA kuwa na mfumo wa vyama vingi?Mfumo wa vyama vingi ni process ya kuharakisha maendeleo bila kujali ni chama gani kinashinda na kuongoza dola as long as uchagua unakua huru na wa haki
Mbumbumbu na maskini ndio wanadhani Hali Yao itabadilika wanasabu Wanasiasa ni matapeli na wanatafuta ulli wao na wake zao na Watoto wao.Watanzania wana ongea ongea sana maneno mengi, lawama nyingi kwa serikali iliyopo madarakani(CCM) Ni jambo zuri kwa sababu ni haki yao na mdomo ni mali yao.
Lakini Watanzania wengi kujifanya kwao sijui wazalendo, wana uchungu sana na nchi ni maigizo tu ya kukosa vipande vya mate katika keki ya taifa.
Watanzania waliopo CCM hawana tofauti na waliopo Chadema,ACT,CUF,TLP.......
Kipi pekee nacho tambua ni kuwa waafrika hasa kusini mwa jangwa la Sahara hatuja pishana sana akili ndio maana haishangazi sisi kuwa masikini sana hapa duniani kwa kila kitu kinaanza wapi ? Kichwani
Na vichwa vyetu ni debe tu hata siku CCM ikitoka madarakani hakutakuwa na maajabu yoyote yale ya kulipeleka taifa mbele zaidi ya siasa za kipuuzi na za kijinga kijinga kuendelea kutawala.
Wananchi wa Tanzania na viongozi hakuna tofauti Mtanzania atasema kiongozi mara mwizi,fisadi,mzembe kila aina ya maneno ya lawama lakini hizi sifa zimejaa kwa Watanzania wengi.
Ukitaka kujua kuwa sisi watu wa kusini mwa jangwa la Sahara ni wahovyo tazama Afrika na muendelezo wake baada ya ANC kupewa nchi na makaburu nini kipya wamefanya zaidi kucheza Amapiano na kuongeza UKIMWI kwa ngono za hovyo hovyo
Haya Kenya wamefanya mabadiliko,Zambia,Malawi hii ni mifano midogo je, hawa wana muelekeo hata wakuwa bora hata kama Singapore na Qatar kwa miaka hata 30 ijayo ?
Watanzania wasije matumaini hewa kanakwamba siku CCM ikifurumushwa basi Tanzania ndio itaendelea kwa kasi jibu ni HAPANA
Siwapendi CCM ila najua tatizo lililopo ni zaidi ya CCM wenda nikilisema nitatafsirika kama mbaguzi.
Lakini tatizo ni zaidi ya CCM na ndio maana hata ukienda Kenya au Zambia au Malawi au Burundi au Rwanda au Afrika Kusini tuna banana kwa mengi.