Pre GE2025 Watanzania wasije matumaini hewa kanakwamba siku CCM ikifurumushwa basi Tanzania ndio itaendelea kwa kasi jibu ni hapana!

Pre GE2025 Watanzania wasije matumaini hewa kanakwamba siku CCM ikifurumushwa basi Tanzania ndio itaendelea kwa kasi jibu ni hapana!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kenya haijaendelea
Kenya ni nchi inayoendelea kwa kasi katika nchi zilizopo africa mashariki na kati ...hata ndugu yetu mtanzania benjamin Fernandez kaamua kwenda kuwekeza kenya
 
Nchi kama Zambia au Malawi haziwezi kuwa kama Qatar au Singapore kwa sababu nyingi sana, ila Tanzania inawezekana.
Burundi imekuwa nchi ya vita
Japo ANC ni tatizo Africa Kusini lakini kama nchi ina miaka 30 tu tangu kumalizika kwa ubaguzi wa rangi ulioacha legacy mbaya sana na itakayohitaji muda mrefu zaidi kuirekebisha.
Ubaguzi wa rangi kwa zaidi ya miaka 30 ni excuses ya kipuuzi ambayo bado inatumika SA na US ili ku justify failures
 
Nchi kama Zambia au Malawi haziwezi kuwa kama Qatar au Singapore kwa sababu nyingi sana, ila Tanzania inawezekana.
Burundi imekuwa nchi ya vita
Japo ANC ni tatizo Africa Kusini lakini kama nchi ina miaka 30 tu tangu kumalizika kwa ubaguzi wa rangi ulioacha legacy mbaya sana na itakayohitaji muda mrefu zaidi kuirekebisha.
Si tu kuwa Zambia au Malawi haziwezi hata Tanzania haiwezi imeshindwa.
 
Si tu kuwa Zambia au Malawi haziwezi hata Tanzania haiwezi imeshindwa.
Zambia na Malawi hawana rasilimali mfano wa Singapore, Tanzania ina rasilimali kuliko Singapore.
 
Zambia na Malawi hawana rasilimali mfano wa Singapore, Tanzania ina rasilimali kuliko Singapore.
Kama unazungumzia rasilimali akili upo sahihi tofauti na hapo haupo sahihi.
 
Kama unazungumzia rasilimali akili upo sahihi tofauti na hapo haupo sahihi.
Zambia na Malawi hawana bandari waliyo nayo Singapore ambayo kwa mwaka wanakusanya mapato hadi ya $b7.
 
Zambia na Malawi hawana bandari waliyo nayo Singapore ambayo kwa mwaka wanakusanya mapato hadi ya $b7.
Ambayo ni asilimia ndogo tu ya GDP ya SG inachangia

Switzerland hawana bandari kama ya SG
 
Ambayo ni asilimia ndogo tu ya GDP ya SG inachangia

Switzerland hawana bandari kama ya SG
Switzerland imezungukwa na Ufaransa, Ujerumani, Italia na Austria.
 
Switzerland imezungukwa na Ufaransa, Ujerumani, Italia na Austria.
Unataka kumaanisha kuwa wajinga wamezungukana na werevu wamezungukana hivyo utofauti lazima uwepo, nimekupata.
 
Unataka kumaanisha kuwa wajinga wamezungukana na werevu wamezungukana hivyo utofauti lazima uwepo, nimekupata.
Ndio, majirani wanaokuzunguka wana athari na mchango mkubwa sana katika maisha yako jinsi utakavyokuwa.
 
Mfumo wa vyama vingi ni process ya kuharakisha maendeleo bila kujali ni chama gani kinashinda na kuongoza dola as long as uchagua unakua huru na wa haki
Kwahiyo hapo ndio nimeandika Kupata maendeleo NILAZIMA kuwa na mfumo wa vyama vingi?

Jifunze kujadili muktadha wa hoja na sio kujibanza kwenye sentensi na kuacha dhana nzima ya hoja yangu

Natudia tena kukukumbusha kwamba hoja zako zote zinajibiwa na topic ya vyama vingi form two B
 
Watanzania wana ongea ongea sana maneno mengi, lawama nyingi kwa serikali iliyopo madarakani(CCM) Ni jambo zuri kwa sababu ni haki yao na mdomo ni mali yao.

Lakini Watanzania wengi kujifanya kwao sijui wazalendo, wana uchungu sana na nchi ni maigizo tu ya kukosa vipande vya mate katika keki ya taifa.

Watanzania waliopo CCM hawana tofauti na waliopo Chadema,ACT,CUF,TLP.......

Kipi pekee nacho tambua ni kuwa waafrika hasa kusini mwa jangwa la Sahara hatuja pishana sana akili ndio maana haishangazi sisi kuwa masikini sana hapa duniani kwa kila kitu kinaanza wapi ? Kichwani

Na vichwa vyetu ni debe tu hata siku CCM ikitoka madarakani hakutakuwa na maajabu yoyote yale ya kulipeleka taifa mbele zaidi ya siasa za kipuuzi na za kijinga kijinga kuendelea kutawala.

Wananchi wa Tanzania na viongozi hakuna tofauti Mtanzania atasema kiongozi mara mwizi,fisadi,mzembe kila aina ya maneno ya lawama lakini hizi sifa zimejaa kwa Watanzania wengi.

Ukitaka kujua kuwa sisi watu wa kusini mwa jangwa la Sahara ni wahovyo tazama Afrika na muendelezo wake baada ya ANC kupewa nchi na makaburu nini kipya wamefanya zaidi kucheza Amapiano na kuongeza UKIMWI kwa ngono za hovyo hovyo

Haya Kenya wamefanya mabadiliko,Zambia,Malawi hii ni mifano midogo je, hawa wana muelekeo hata wakuwa bora hata kama Singapore na Qatar kwa miaka hata 30 ijayo ?

Watanzania wasije matumaini hewa kanakwamba siku CCM ikifurumushwa basi Tanzania ndio itaendelea kwa kasi jibu ni HAPANA

Siwapendi CCM ila najua tatizo lililopo ni zaidi ya CCM wenda nikilisema nitatafsirika kama mbaguzi.

Lakini tatizo ni zaidi ya CCM na ndio maana hata ukienda Kenya au Zambia au Malawi au Burundi au Rwanda au Afrika Kusini tuna banana kwa mengi.
Mbumbumbu na maskini ndio wanadhani Hali Yao itabadilika wanasabu Wanasiasa ni matapeli na wanatafuta ulli wao na wake zao na Watoto wao.

Mifano imejaa hapa Duniani.

Mbumbumbu wa hivyo ndio maana wanatumiwa kirahisi sana na Wanasiasa Kwa sababu hawajitambui.
 
Back
Top Bottom