Watanzania wasiovuka futi 6 chezeni basket kujifurahisha, Nimekutana na vijana wenye 5'6 - 5'8 wanapeana matumaini kucheza NBA nimesikitika

Stephen curry na 6'2 anaonekana average tu.

Nba ni zaidi ya urefu,

Kule ni vipaji tu.

Wazungu hawana ubabaishaji kama sisi huku.
 
Schroder yule wa LA lakers ana cm ngapi kwani mbona ana urefu wa kawaida tuu
6'1 (sentimeter 185 / mita 1.85), kwa NBA utamuona mfupi kwasababu anacheza na watu wenye futi 6'6 / mita 2 / centimeter 200
 
Stephen curry na 6'2 anaonekana average tu.

Nba ni zaidi ya urefu,

Kule ni vipaji tu.

Wazungu hawana ubabaishaji kama sisi huku.
Steven curry unamuona wa kawaida kwasababu ancheza na watu warefu zaidi kina Lebron wenye 6'9 ( 209 cm)

6'2 kwa hapa bongo ni mtu mrefu mno sana japo kuna wachache zaidi wanavuka
 
wachache si wengi. huo wingi unaouzungumzia kiuwiano ni wachache. katika 450 wako nadhani 40+..mathematically huwezi kusema ni wengi hao.
Hesabu za wapi hizo zinasema 40+ sio wengi hawa walioenda Olympic wengi walikua na kimo cha kawaida tu hata baadhi ya mechi walisumbuka kwa sababu ya kimo cha wapinzani.
 
Hesabu za wapi hizo zinasema 40+ sio wengi hawa walioenda Olympic wengi walikua na kimo cha kawaida tu hata baadhi ya mechi walisumbuka kwa sababu ya kimo cha wapinzani.
duh mkuu labda huelewi lugha ya hisabati. utasemaje 45 out of 450 ni uwiano ulio sawa? sibishi hakuna wa kimo cha kawaida. na ujue hicho unachokiita kimo cha kawaida watz wengi hawafiki.
 
duh mkuu labda huelewi lugha ya hisabati. utasemaje 45 out of 450 ni uwiano ulio sawa? sibishi hakuna wa kimo cha kawaida. na ujue hicho unachokiita kimo cha kawaida watz wengi hawafiki.
Mkuu nasema USA wanaocheza Basketball wafupi wengi tu na wengi wanafanya vizuri ni mastaa sema huko Tanganyika mshazoea kukatishana tamaa tu kila kitu hakiwezekani kwenu.
 
duh mkuu labda huelewi lugha ya hisabati. utasemaje 45 out of 450 ni uwiano ulio sawa? sibishi hakuna wa kimo cha kawaida. na ujue hicho unachokiita kimo cha kawaida watz wengi hawafiki.
Kwa tz mchezaji kwa Sasa ambae huchukua MVP kwa wanawake ni Jesca Julius ukiamuangalia TU unajua hawezi ku compete international level
Upande wa wanaume ndio wale nadhani kina Sadiq kama sikosei ukiangalia maumbo na stamina unaona ni watu Wanacheza kujifurahisha
Hasa kama uliangalia national league pale chinangali park utajua huu mchezo ni almost haupo nchini
 
Mpira unaingia kwenye kikapu baada ya watu kurusha zaidi ya mara kumi πŸ˜„
 
Muggsy Bogues is the shortest player in NBA history, standing at 5 ft 3 in (160 cm). Being among the shortest NBA players of all time means that the talent and basketball ability were way better than the physical attributes, especially height.
 
Jacob Gilyard holds the title of the shortest player in the NBA right now. The 5-foot-8 guard appeared in 41 games in 2023-24: 37 with the Memphis Grizzlies and four with the Brooklyn Nets.
 
Bball na soka hatujui tujikite kwenye michezo mingine. Akili ni kujua your strength and weaknesses na kufanya kile unachoweza. Tunapenda mpira ila hatuuwezi au itabidi kutenga resources nyingi sana kuumudu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…