Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
6'1 (sentimeter 185 / mita 1.85), kwa NBA utamuona mfupi kwasababu anacheza na watu wenye futi 6'6 / mita 2 / centimeter 200Schroder yule wa LA lakers ana cm ngapi kwani mbona ana urefu wa kawaida tuu
Steven curry unamuona wa kawaida kwasababu ancheza na watu warefu zaidi kina Lebron wenye 6'9 ( 209 cm)Stephen curry na 6'2 anaonekana average tu.
Nba ni zaidi ya urefu,
Kule ni vipaji tu.
Wazungu hawana ubabaishaji kama sisi huku.
NBA mbona wapo wafupi wengi tu.Umemwelewa mtoa mada?,kucheza ni kitu kimoja na kwenda NBA kitu kingine
wachache si wengi. huo wingi unaouzungumzia kiuwiano ni wachache. katika 450 wako nadhani 40+..mathematically huwezi kusema ni wengi hao.NBA mbona wapo wafupi wengi tu.
Hesabu za wapi hizo zinasema 40+ sio wengi hawa walioenda Olympic wengi walikua na kimo cha kawaida tu hata baadhi ya mechi walisumbuka kwa sababu ya kimo cha wapinzani.wachache si wengi. huo wingi unaouzungumzia kiuwiano ni wachache. katika 450 wako nadhani 40+..mathematically huwezi kusema ni wengi hao.
Rwanda kinachowaponza ni mironjo halafu hawana nguvu!Ni ngumu mno kwa mtanzania kutoboa NBA ila vile wako hai ni muhimu kuwa na matumaini
NBA wenyewe wakisikia afrika wanawaza Nigeria ,Sudan,Kongo,Angola, na kwa mbaaali sana Rwanda
Yah ni sawa na waarabu ni warefu ila nguvu kidogoRwanda kinachowaponza ni mironjo halafu hawana nguvu!
duh mkuu labda huelewi lugha ya hisabati. utasemaje 45 out of 450 ni uwiano ulio sawa? sibishi hakuna wa kimo cha kawaida. na ujue hicho unachokiita kimo cha kawaida watz wengi hawafiki.Hesabu za wapi hizo zinasema 40+ sio wengi hawa walioenda Olympic wengi walikua na kimo cha kawaida tu hata baadhi ya mechi walisumbuka kwa sababu ya kimo cha wapinzani.
Mkuu nasema USA wanaocheza Basketball wafupi wengi tu na wengi wanafanya vizuri ni mastaa sema huko Tanganyika mshazoea kukatishana tamaa tu kila kitu hakiwezekani kwenu.duh mkuu labda huelewi lugha ya hisabati. utasemaje 45 out of 450 ni uwiano ulio sawa? sibishi hakuna wa kimo cha kawaida. na ujue hicho unachokiita kimo cha kawaida watz wengi hawafiki.
Kwa tz mchezaji kwa Sasa ambae huchukua MVP kwa wanawake ni Jesca Julius ukiamuangalia TU unajua hawezi ku compete international levelduh mkuu labda huelewi lugha ya hisabati. utasemaje 45 out of 450 ni uwiano ulio sawa? sibishi hakuna wa kimo cha kawaida. na ujue hicho unachokiita kimo cha kawaida watz wengi hawafiki.
Mpira unaingia kwenye kikapu baada ya watu kurusha zaidi ya mara kumi 😄Kwa tz mchezaji kwa Sasa ambae huchukua MVP kwa wanawake ni Jesca Julius ukiamuangalia TU unajua hawezi ku compete international level
Upande wa wanaume ndio wale nadhani kina Sadiq kama sikosei ukiangalia maumbo na stamina unaona ni watu Wanacheza kujifurahisha
Hasa kama uliangalia national league pale chinangali park utajua huu mchezo ni almost haupo nchini
Ni unakosa hadi rhythm ya game na hapo bado hujakutana na commentator Patrick Nyembera utasikia ...gerali here!!!😂😂Mpira unaingia kwenye kikapu baada ya watu kurusha zaidi ya mara kumi 😄
KamaNBA mbona wapo wafupi wengi tu.
😂😂😂😂 Mbona umekazania na hiyo kuwaharibu vizazi kwanini lakini🤣🤣🤣Ana nyumba kadhaa Dar na apartments.......kamaliza.....sasa anawaharibu vizazi .....