Hivi tanzania agness gerard ni mmoja tuu hamna wengina nan anapicha za usibitisho kuwa ni huyo video qeen...nawasilisha
hivi ile kesi iliishia wapi ya binti wa liyumba au ndio baade wakasema ilikuwa sembe au majivu polisi walifanya mistake then mzigo unafaulishwa
Hivi ni rais gani vile aliyesema anawajua wauza unga tena vigogo? na akasema atawataja? na kwa nini hawataji wakati wanawaponza vijana wadogo namna hii na kuwapotezea dira zao?
Mungu ni samehe huwa nina wasi wasi na mali za wema sepetu ni kilinganisha na kazi zake.
Kwenye akaunti yake ya facebook watu wanaliongelea, kama sio yeye angeibuka akanushe.......nan anapicha za usibitisho kuwa ni huyo video qeen...nawasilisha
Na Mwanga wa milele umuangazie eeh Bwana.
Sio Agness Masogange. Huyo ni Agnes Gerald mwingine. kumbuka ukiwa na double english name unaweza kuta duniani mpo zaidi ya elf moja. Mtoa mada tulete habari zenye uhakika usipotoshe.
With a story like, " I was a drug pusher" in my hey days. Who wants that!.Die hard. Get rich or die tryin. Pole zake huyo mrembo amethubutu akiwezeshwa ataweza zaidi. She must have a story and that itz.