Watanzania wawili wakataliwa kuingia Kenya baada ya kugunduliwa kuwa waathirika wakiwa upande wao wa mpakani

Watanzania wawili wakataliwa kuingia Kenya baada ya kugunduliwa kuwa waathirika wakiwa upande wao wa mpakani

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Serikali ya Kenya imeanza mkakati wa kupima Watanzania wanaotaka kuingia Kenya, wanapimwa wakiwa upande wao wa mpakani, anayegunduliwa kuathirika ndio basi kwaheri haruhusiwi kuingia, wanaingia wale ambao wazima.

Hawa wawili walipimwa wakiwa upande wao na kugunduliwa kuwa nacho kirusi, yaani balaa sana majirani huko kwenu imekuaje lakini, chukueni hatua mchakarike, acheni ukaidi, hiki kitu kipo sio ndoto au njonzi mbaya au jinamizi, ni kitu kipo kinaitesa dunia, mtaamka lini na kufahamu hilo.

========

The national government on Tuesday, May 12, turned away to 2 Tanzanian citizens after they tested positive for Covid-19 at the Isibania Border Point.

"Yesterday I said that we are testing Tanzanians who are crossing over, but, we are testing them while on their soil and then sharing with them the results of the test," Health CAS Rashid Aman stated.

He then revealed that 2 Tanzanians were identified in the latest batch of tests and consequently denied entry across the busy border crossing point.

Across the border in Tanzania, several social media influencers and digital news publications were claiming that the government had so far closed down two border crossing points: Horohoro and Namanga.

"Kenya imeufunga mpaka wa Horohoro uliopo mkoani Tanga unaoitenganisha nchi hiyo na Tanzania, (Kenya has closed down the border point of Horohoro in the Tanga region),

Hatua hiyo inakuja siku moja baada ya Kenya kuufunga mpaka mwingine kati yake na Tanzania uliopo Namanga mkoani Arusha (the move comes just a day after Kenya closed down the Namanga border in Arusha)," Watetezi TV ( a Not-For-Profit online TV under the Tanzania Human Rights Defenders Coalition) tweeted.

However, speaking to Kenyans.co.ke, Government Spokesperson Cyrus Oguna was quick to deny the claims of border closures.

"We can't just close down borders without following the stipulated protocols. If it comes to that, the move will be announced to the public across all official government platforms relevant to the issue," he elaborated.

Migori Governor Okoth Obado on several occassions lamented over the porous nature of the Isibania border, which has left his county residents exposed to potential Covid-19 carriers from across the border.

"Our Covid-19 Emergency Response Team has recommended that we close down our border with Tanzanian indefinitely," he stated on May 4.

"I also want to make a special appeal to our national government to ensure that we completely stop the entry of Tanzanians into our territory," he added.

2 Covid-19 Patients Denied Entry Into Kenya
 
Nafikiri awapaswi kuwarudisha yafaa kuwe na facilities Mpaka ya kutunza mgonjwa au watoe tarifa kwa Mamlaka waje kuwafuta na ambulance na kuwapeleka maeneo ya uangalizi.
 
Nafikiri awapaswi kuwarudisha yafaa kuwe na facilities Mpaka ya kutunza mgonjwa au watoe tarifa kwa Mamlaka waje kuwafuta na ambulance na kuwapeleka maeneo ya uangalizi.

Hapo mpakani kuna kitu kinaitwa "One Stop Border", kwamba maafisa wa afya wa Kenya wapo pia upande wa Tanzania, ukigunduliwa kuwa na kirusi, unapokezwa kwa mamlaka husika wa kwenu wapambane nawe, na kama wao pia wanakaidi, unaachwa urudi kwenu uendelee kutema mbegu.
 
Wale madereva wenu waliopatikana na #covid19 Uganda mshawachukua?
 
Serikali ya Kenya upande wa Isbania imesema imezuia Watanzania wawili kuingia Kenya baada ya kukutwa na maambukizi ya covid 19 baada ya kuwafanyia vipimo

Watanzania hao walikuwa wanavuka mpakani kutoka Sirari Tarime ili kuingia Isbania Kenya

Chanzo BBC
===
Raia wawili wa Tanzania wamekatazwa kuingia nchini Kenya katika mpaka wa Isibania baada ya kukutwa na virusi vya corona, kulingana na wizara ya afya nchini humo.

Akizungumza na vyombo vya habari , naibu waziri wa Afya Rashid Aman amesema kwamba serikali pia itazuru mpaka wa Namanga ili kubaini ni mikakati gani itawekwa ili kuzuia maambukizi kutoka taifa jirani la Tanzania.

Matamshi yake yanajiri siku moja tu baada ya madereva tisa wa Kenya waliotoka nchini Tanzania kukutwa na virusi hivyo.

Aman amesema kwamba madereva hao kutoka Kajiado walipimwa katika mpaka wa Namanga pamoja na wenzao wa Tanzania.

Amesema kwamba serikali pia imetuma ujumbe wa ngazi za juu kutoka wizara ya Afya utakaoongozwa na mkurugenzi mkuu wa Afya ya umma kuzuru eneo la Kajiado ili kuchunguza vipimo vinavyofanywa katika eneo hilo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hamna raia wengine wanaoingia uko Kenya zaidi ya Watanzania[emoji1241]
 
Ni sawa, ni muhimu kuchukua tahadhari... sema mleta mada ni kama kafurahia sijui kitu gani!
 
In the daily update today 1500 samples were tested. Kenya now has 22 more confirmed cases. 25 truck drivers waiting to enter Kenya via Namanga border have all tested positive for Covid19. 24 are Tanzanians, 1 Rwandan.
The GOK has rightly notified GOT of the truck driver cases and denied them entry into Kenya
 
Itapendeza sana kama kenya wataamua kufunga mpaka wao.na Tanzania
Maana.imefikia wanakosa mpaka.maji ya kukoga,ili tu kuishughulikia Tanzania kiuchumi
 
Sasa hata kwa akilizako ulitaka waingie hivyohivyo ili iwaje?
 
Back
Top Bottom