Watanzania wawili wameshinda mbio za Half marathon huko Brazil leo

Watanzania wawili wameshinda mbio za Half marathon huko Brazil leo

UKWELI NI HUU

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
262
Reaction score
412
IMG-20161204-WA0045.jpg
Watanzania wawili Jackline Sakilu na Augustine Sulle wameibuka na ushindi muda mfupi uliopita katika mbio za Belo Horizonte half marathon huko nchini Brazil.

Dada Jackline Sakilu ameibuka mshindi wa kwanza kwa wanawake wakati bwana Augustine Sulle ameibuka mshindi wa tatu kwa wanaume.

IMG-20161204-WA0044.jpg
IMG-20161204-WA0026.jpg
 
Hongera zao
Ingawa mashindano ya mchangani bora Olympic
 
Hongera watanzania wenzetu hususani dada jackline kwa kutuwakikisha vyema watanzania
 
Safi sana with time we will make it
 
HII NI FURSA KWA WATOTO WA BONGO MUVI NGOJA WAZIPATE HIZI HABARI,
dyadyadekiiii atapokelewa mtu eapoti
 
View attachment 442630 Watanzania wawili Jackline Sakilu na Augustine Sulle wameibuka na ushindi muda mfupi uliopita katika mbio za Belo Horizonte half marathon huko nchini Brazil.

Dada Jackline Sakilu ameibuka mshindi wa kwanza kwa wanawake wakati bwana Augustine Sulle ameibuka mshindi wa tatu kwa wanaume.

View attachment 442633 View attachment 442634

Mkuu,
Tuwekee na muda waliotumia kumaliza ktk mbio hizo ili kukamilisha habari hii nzuri na mwisho pongezi kubwa kabisa kwa wanariadha wetu kututambulisha huko America ya Kusini na Dunia.
 
Hongera zao, ngoja tutasikia viongozi wa serikali na wa chama cha riadha watakavyo toa tamko na pongezi, baada ya ushindi!
 
Back
Top Bottom