Anyisile Obheli
JF-Expert Member
- Dec 13, 2009
- 3,400
- 320
uko sahihi mkuu,Kwanza inabidi uelewe kuwa 80% ya watanzania wanaishi vijijini. Sijui wewe mwenzangu kama ulishawahi kuishi kijijini.Ila sio siri hali ni mbaya sana kule. watu kuvaa nguo mpya ni swala jipya kabisa katika mfumo wao wa kimaisha. So hata akitokea mtu wa kumpa doti ya Kitenge huwa mkombozi kwake. Njaa ni kali ajabu. So kuwalaumu inakua sio vizuri kwa sababu wengi hawajui mfumo mzima wa uongozi wao hakuchi kunakucha bora siku ziende. Mimi nafikiri uwepo mfumo wa kuelimisha wananchi hasa wa vijijini (Ndo CCM inaposhindia) juu ya swala la uongozi wa nchi na madhara yake pale linapofanyika kosa kwa kumchagua kiongozi bora. Otherwise tutabaki kuwa nchi masikini kwa sababu ya umasikini wa nkufikiri wa viongozi tunawachagua.
:sick: tatizo niufinyu wa elimu ya uraia. kama elimu husika itaenezwa nina uhakika watanzania watafanya maamuzi kwa ridhaa yao na sio takrima. mbona jirani zetu kenya, malawi, na zambia wananchi wanaelewa haki na wajibu wao kama raia? ni suala la elimu hiyo ndilo hata kanisa katoliki lilikuwa linajaribu kusema kwa njia ya waraka wake lakini watanzania hao hao tukawabeza CPT.wengi wa watanzania akili yao ni ya kutingisha, maana hainingii akilini kama akili yao iko standard ama lah,
we mtu anawezaje kuuza haki yake, tena kwa kulaghaiwa na furana, doti za khanga na kofia? kwa kukaribisha shida zaidi?
katika maisha yake, maana hizo khanga, fulana na kofia zitakwisha kwa muda wa miezi tu na pengine wiki tu, lakini vipi tuendako?
sawa sawa kabisa mkuu, tatizo ni kwamba tushazoea kubwata, lakini ukweli ni kwamba tungejaaliwa kuwa watu wa kukaa na kujisumbu akili zetu juu ya jambo furani tungegundua kwamba rc walikuwa sahihi na kutaka kufikisha kile ambacho wanaona kitaifaa jamii, kumbuka kuwa waliojaribu kuupotosha ule waraka baadhi ni wale tunaowaona wasomi nchini tena wengine wakajaribu kuuhusianisha kidini zaidi, wengine nao wakija huku na za kwao pasi na kuangalia kwanza kwamba hawa wenzetu wamevumbua nini?:sick: tatizo niufinyu wa elimu ya uraia. kama elimu husika itaenezwa nina uhakika watanzania watafanya maamuzi kwa ridhaa yao na sio takrima. mbona jirani zetu kenya, malawi, na zambia wananchi wanaelewa haki na wajibu wao kama raia? ni suala la elimu hiyo ndilo hata kanisa katoliki lilikuwa linajaribu kusema kwa njia ya waraka wake lakini watanzania hao hao tukawabeza CPT.
Sikubaliani na nyie wote, angalau huko vijijini utapata wabunge na viongozi wa upinzani. Kama mnayoyasema ni kweli kuna wabunge wangapi wa upinzani Dar, hapa si ndio wapo wenye elimu, wenye mwanga wa kuona mambo n.k. Matokeo yake mijini ndio kunakotia aibu, tukubali tu kuwa waTZ tuna kasoro. Pamoja na jitihada zote walizofanya waliojitoa muhanga kutuonyesha jinzi tunavyoibiwa ndio kwanza, watu na digirii zao wanaunga mkono na kutoa maksi kwa uongozi mzuri.
ukweli ndiyo huo Mzee Mwanakijiji,Matatizo yote yako mjini msiwalaumu Watanzania wa vijijini.. hadi hivi sasa ni vijijini ndio kuna mwamko zaidi wa kisiasa kuliko mjini!
Kwanza inabidi uelewe kuwa 80% ya watanzania wanaishi vijijini. Sijui wewe mwenzangu kama ulishawahi kuishi kijijini.Ila sio siri hali ni mbaya sana kule. watu kuvaa nguo mpya ni swala jipya kabisa katika mfumo wao wa kimaisha. So hata akitokea mtu wa kumpa doti ya Kitenge huwa mkombozi kwake. Njaa ni kali ajabu. So kuwalaumu inakua sio vizuri kwa sababu wengi hawajui mfumo mzima wa uongozi wao hakuchi kunakucha bora siku ziende. Mimi nafikiri uwepo mfumo wa kuelimisha wananchi hasa wa vijijini (Ndo CCM inaposhindia) juu ya swala la uongozi wa nchi na madhara yake pale linapofanyika kosa kwa kumchagua kiongozi bora. Otherwise tutabaki kuwa nchi masikini kwa sababu ya umasikini wa nkufikiri wa viongozi tunawachagua.
Matatizo yote yako mjini msiwalaumu Watanzania wa vijijini.. hadi hivi sasa ni vijijini ndio kuna mwamko zaidi wa kisiasa kuliko mjini!
ukweli ndiyo huo Mzee Mwanakijiji,
mjini unafiki ni mwingi na kujifanya tunajua sana, kwa hili linaweza kunifumbua macho na kuona kuwa inawezekana vijijini huko watu wameelimika sana katika nyanja ya, kujitambua kifahamu kuliko watu wa mjini, mjini watu too much talking but nothing decision at the end of the point, an we still stupid people, ujanja ujanja tu midomoni na kujifanya paka katikati ya kundi la paka huku tuna harufu ya panya,
Mjini alternatives nyingi, vishoka, madalali, wapigadebe, wakakapoa, wadadapoa etc vijijini huwezi kufanya hivyo utakuwa outcast i swear. Kutokana na hizo alteranatives wa mjini wanaona maisha tambarare wa vijijini wanajikalia kimya tu wakisubiri niujiza.
Usiape bure kwa jina la Mungu wako.
Vijijini kuna dadapoa tena sana ndugu! Kinachokosekana ni sofistikesheni ya mjini .Kwa standadi zao usipime!Vijijini bei ni makubaliano - ulimiwe shamba lako, ununuliwe kaulanzi, nk.mnabadilishana tu siyo lazima cash.