Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
Mimi najua mtu ukiashapata pesa huwezi kushaurika wala kukubaliana na wenzako uliowapita, hili ni kwa asilimia kubwa ya matajiri wanaozidi kuongoza gurudumu.
Kisa kilicho nileta hapa kuna jamaa alisikia tetesi ile nyumba inauzwa muda wowote ila kutojulikana siku, yeye akachukua maamuzi ya kuongeza fremu ili kutanua biashara yake ambayo jumla kwa mwezi ilibidi kulipa kodi milioni 2 kamili kwa mwezi, mwaka mzima milioni 24.
Suala la ile nyumba hakuzingatia sababu kodi analipa na kuwekeza sehemu nyengine, mwaka huu nyumba imeiuzwa milioni 350 na mmliki mpya kapandisha kodi anaanza kulalamika, na biashara yake inazaidi ya miaka 10 tokea kusikia hili suala kuwa nyumba itauzwa na yupo hapo.