Mzee Saliboko
JF-Expert Member
- Jan 29, 2018
- 1,311
- 1,018
- Thread starter
- #21
Udumavu wa akili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Udumavu wa akili
Udumavu wa akili
Hapo kwenye lugha umenenaUnachosema ni kweli, hata passport tu mtu kuwa nayo anaona kama sio kitu anachostahili, labda ni za watu fulani tu, hata kama uwezo wa kuipata anayo.
Ila sisi pia hatuna courage sana kama wakenya ndio maana idadi ya wa TZ wanaoenda kupambana nje ni wachache kuliko sisi.
Lugha pia imeendelea kuwa changamoto, kama ingewezekana shule za Serikali zingefundisha masomo yote kwa kizungu tangu la kwanza.
Lugha baba, Lugha. Africa magharibi ukiangalia ni Ghana, Nigeria ana kuna nchi nyingine pale nimeisahau lakini bendera yake ni kama ya marekani hivi. East Africa umeongelea Kenya. Ishu hapa Lugha ya Kiingereza kutoifahamu tumekua waogaUkiangalia kwa jicho la kawaida tu, watanzania wengi hawapendi kusafiri hasa kwenda nje ya nchi.
Ndio maana hata fursa nyingi za nje ya nchi zimebebwa na Afrika Magharibi na Kenya.
Why this🤔🤔
Ukifika uhamiaji kuomba passport ndiyo utagundua kumbe siyo kwamba watanzania hawataki kusafiri, ila mtazamo wa serikali ni kila mwananchi abaki nchini kutumikia adhabu ya kutotoka nje ya nchi.Ukiangalia kwa jicho la kawaida tu, watanzania wengi hawapendi kusafiri hasa kwenda nje ya nchi.
Ndio maana hata fursa nyingi za nje ya nchi zimebebwa na Afrika Magharibi na Kenya.
Why this🤔🤔
Umeona ee!Ukiangalia kwa jicho la kawaida tu, watanzania wengi hawapendi kusafiri hasa kwenda nje ya nchi.
Ndio maana hata fursa nyingi za nje ya nchi zimebebwa na Afrika Magharibi na Kenya.
Why this🤔🤔
Hawana pesa, umaskini umetamalaki.Ukiangalia kwa jicho la kawaida tu, watanzania wengi hawapendi kusafiri hasa kwenda nje ya nchi.
Ndio maana hata fursa nyingi za nje ya nchi zimebebwa na Afrika Magharibi na Kenya.
Why this🤔🤔
Ukiangalia kwa jicho la kawaida tu, watanzania wengi hawapendi kusafiri hasa kwenda nje ya nchi.
Ndio maana hata fursa nyingi za nje ya nchi zimebebwa na Afrika Magharibi na Kenya.
Why this[emoji848][emoji848]

Sio hatupendi kusafiri watanzania wengi tuna roho mbaya sn kupeana michongo ya maisha.Ukiangalia kwa jicho la kawaida tu, watanzania wengi hawapendi kusafiri hasa kwenda nje ya nchi.
Ndio maana hata fursa nyingi za nje ya nchi zimebebwa na Afrika Magharibi na Kenya.
Why this[emoji848][emoji848]
Unaweza kusemaje kuhusu Finland? Ni miongoni mwa nchi inayoongoza dunianai kwa watu wake kusafiri sana.Usichoelewa nchi ikiwa vizuri kiuchumi, amani na stable huwez kuta watu wanaambaa ambaa nchi nyingine!!….
Labda kutumia pesa
Nauli siyo tatizo kama nia ipo!