Watanzania wengi hufa bila hata kumiliki Tsh 100M katika maisha yao. Wewe, ushawahi kumiliki ?

Mkaruka

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
19,629
Reaction score
34,199
Nadhani asilimia ndogo sana ya watanzania wanaofanikiwa kupata Tsh 100M katika maisha yao. Asilimia yetu kubwa pesa hizi tunazisikia tu na uwezekano wa kutozipata katika maisha yetu ni mkubwa !!

Hebu fikiria mtumishi wa umma wa kawaida anaeanza na mshahara wa MILIONI 1 ndiye mwenye uwezo wa kufikisha mafao ya Tsh 80 ( kama akipewa yote ) Je, ni watumishi wangapi wanaoanza na mshahara huo ?

Je, wewe ushawahi kumiliki Tsh 100M, uliipataje ?

Share na sisi ili tujifunze tutawezaje kupata kiasi hiki hata mara moja tu kwenye maisha yetu ?


Cheers ?

= = = =

Hapa namaanisha kama umewahi kumiliki Tsh 100M in total hata kama hukuzipata kwa mkupuo.

- Hata kama una biashara yenye annual turnover ya Tsh 100M au hata kama,

- Hata kama una Asset yenye thamani hiyo.

Siyo lazima uzipate kwa mkupuo.

Cheers !

Mkaruka
 
Kivipi? Yaani mara moja tu kwa mkupuo umelipwa 100m au hata kudunduliza na kufikisha 100m kwenye akaunti au ?
 
Kivipi? Yaani mara moja tu kwa mkupuo umelipwa 100m au hata kudunduliza na kufikisha 100m kwenye akaunti au ?
Hata kwa kudunduliza tu.
 
Kuna mzalishaji na mshughulikaji mzalishaji ana chances nyingi za kufikisha hicho kiwango tofauti na mshughulikaji (mhangaikaji) mi bado ila natazamia siku za usoni!
 
hela ndogo sana hiyo labda useme 1biln
 
Kuna wakulima wengi tu mikoani hizo pesa wanazo kwenye account zao, lakini maisha wanayoishi hayana thamani ya hiyo pesa.
 
Ni ngumu mno kumiliki hiyo pesa,ngoja niongee kuhusu mimi...mwaka 2007 nilikua fundi cm ukweli nilipata pesa ambayo sikuwahi kushika 2008 nikawa na m.6 hivi nikaanza kuuza simu ufundi sikuacha biashara a simu ilichanganya sana 2009 nilikua na m.kama 10,elufu 2011 nilikua kama na m.13 ilikua pesa nyingi sana nikaingia kwenye biashara ya spare za pikipiki niko pia nilifanya vizuri sn nikafaulu kujenga kabanda kakuishi nikaenda bank ya nmb wakanipa m.15 mtaji ukawa umekua sana nilivo maliza hiyo nikanunuliwa na crdb wakanipa m.50 nikawa nakua nikafaulu kufanya ukarabati mkubwa wa nyumba yangu na kuongeza viwanja kadhaa,baada ya hapo wakanipa m.150 na sasa nakopa mbaka m.200 hivyo basi ni ngumu ni ngumu mno kupata m.100 kudunduliza bila kujiongeza utaishikia uzeeni au utakufa hujashika.
 
Ngoja waje MABILIONEA Mkuu.
 
Hakika Mkuu, Milestone ndefu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…