Nadhani asilimia ndogo sana ya watanzania wanaofanikiwa kupata Tsh 100M katika maisha yao. Asilimia yetu kubwa pesa hizi tunazisikia tu na uwezekano wa kutozipata katika maisha yetu ni mkubwa !!
Hebu fikiria mtumishi wa umma wa kawaida anaeanza na mshahara wa MILIONI 1 ndiye mwenye uwezo wa kufikisha mafao ya Tsh 80 ( kama akipewa yote ) Je, ni watumishi wangapi wanaoanza na mshahara huo ?
Je, wewe ushawahi kumiliki Tsh 100M, uliipataje ?
Share na sisi ili tujifunze tutawezaje kupata kiasi hiki hata mara moja tu kwenye maisha yetu ?
Cheers ?
= = = =
Hapa namaanisha kama umewahi kumiliki Tsh 100M in total hata kama hukuzipata kwa mkupuo.
- Hata kama una biashara yenye annual turnover ya Tsh 100M au hata kama,
- Hata kama una Asset yenye thamani hiyo.
Siyo lazima uzipate kwa mkupuo.
Cheers !
Mkaruka