Watanzania wengi mnatia huruma kwenye uandishi wa Kiswahili

Hii ni lugha gani?
 
Wewe ni mtaalamu wa kweli wa kiswahili?!
1. Povu za kiajabu.
2.wakaifunze.
3. Madogo.
4. Kujiboresha.

Kama wewe ndio mtaalamu wa kiswahili, Wakenya wana hasara.
 
Mkuu mbona mimi sikuelewi kabisa ?
Kiswahili ulichokiandika hapa chote 100% ni cha ki Tanzania hakuna chembe hata moja ya kiswahili cha Kenya, na wewe unadai ni Mkenya sio kweli aidha wewe ni mkenya uliokulia Tanzania na kama hiki unachokisifia kuwa bora sio cha kenya kbs ni cha Tanzania.

Hakuna mkenya aliyekulia upcountry anaweza aidha kuongea au kuandika hiki kiswahili ulichokiandika awe Jaluo, Kibsiksi, kikuyu, Kalenjin,Luya , Kamba
 
Muulize hicho anachojipambanua nacho kajifunzia wapi? Ukweli ni kuwa roho inamuuma maana anajua ile MOU ya kupeleka walimu wa Kiswahili Afrika Kusini hawatafurukuta mbele ya Tanzania yenye Taasisi za Kiswahili chungu nzima vyuoni!
 
Mwendawazimu tu huyu jamaa kujidai anatufahamu watanzania, watu zaidi ya milioni 50 anawezaje kutuweka kwenye fikra zake finyu. Yaani mkenya akiishi Arusha akajua Kiswahili anarudi kwao na kujidai anawajua watz... hopeless!!
Muulize hicho anachojipambanua nacho kajifunzia wapi?
 
MK254 wewe Lugha yako ya Kiswahili ipo vizuri kwasababu umeishi TZ! Hua sielewi waKenya wakiwa wanakomenti kwa Kiswahili yani hua napendelea waandike kwa English ndo naweza kuelewa!
 
[emoji23][emoji23][emoji23] vijana funi nono round hawapo huku, unajua jina lako hili nikilisoma nakufananisha na Janerose wa TRHK yule
Hehehe kwani huna habari kwamba ndiye huyo Mimi. Ahsante kwa kutazama kipindi chetu. Pia niangalie kwa upcoming movie ' The grace of God'
Na nyingine mwaka ujao Maulana akipenda 'sinners & saints'
 
Huyo asiyejua kiswahili vizuri ni mjinga mjinga toka kenya anaejinadi kufundisha kiswahili SA alafu hakijui icho kiswahili
 
Huyo asiyejua kiswahili vizuri ni mjinga mjinga toka kenya anaejinadi kufundisha kiswahili SA alafu hakijui icho kiswahili
Shindeni hapo na viswahili vya rrrrr na zzzzz .Sie tulifundishwa na walimu ambao wamesomea hili somo la kiswahili. Usione tunaandika vibaya ukadhani ndivyo walimu wa Kenya walivyo. Tangu nianze kusoma 20.. hadi 201. nilipoweka kitone cha mwisho karatasi 3 sikuwahi fundishwa na mwalimu asiyejua kiswahili/kuona makosa kama haya yenu kutofautisha |r| na |l| na |dh| z
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Hehehe kwani huna habari kwamba ndiye huyo Mimi. Ahsante kwa kutazama kipindi chetu. Pia niangalie kwa upcoming movie ' The grace of God'
Na nyingine mwaka ujao Maulana akipenda 'sinners & saints'
 
MK254 wewe Lugha yako ya Kiswahili ipo vizuri kwasababu umeishi TZ! Hua sielewi waKenya wakiwa wanakomenti kwa Kiswahili yani hua napendelea waandike kwa English ndo naweza kuelewa!
English yenyewe wanaijua basi au mbwembwe tu
 
Sitaki kukuwekea wasiwadi juu ya uwezo wako wa kupambanua mambo na kujenga hoja KAMA ni MSOMI kikawaida shida ya matumizi R na L sio kosa la kiufundishajibnintatizo la kibioojia ulimi kushindwa kutamka herusi R na L
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…