Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,340
- 4,659
Kitaa sio safi!
kuna muda hauwezi kuyaondoa machungu kwa kulia bali inahitaji busara ya kujitia upofu wa kuyaona machungu yako,unaweza ukalia ila yakawa ya samaki na remi ongala.
Sisi watanzania wengi wetu ni makapuku mfuko mmoja wa suruali ni mzima ila mwengine ni mbovu,unashinda masikani kulala nyumbani, kila muda unagombezana na madogo zako, hali si shwari mtandao ni mkombozi pekee ila usijisahau mwisho utabaki mpweke kucheka na kupoteza muda kwa simu yako kuna gharimu maisha yako, bando la buku lisaa limekata unaomba na kupiga vizinga unaingia hewani baadae unaenda kukomenti umbeya na kuwasema waliofanikiwa.
Ndiyo maisha ya kujifariji