Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,340
- 4,659
JidanganyeHERI WALIO WALALAHOI WA MWILI NA MATAJIRI WA ROHO MAANA HAO WATAMUONA YESU KRISTO
JE ITAMFAIDIA NINI MTU AKIUPATA ULIMWENGU MZIMA LAKINI AKAUKOSA UZIMA WA MILELE?
Umejuaje?Ahahahaa mkuu inakupasa uokoke YESU anakuhitaji na kukupenda
Huo uzima wa milele umeshawahi kuuona?HERI WALIO WALALAHOI WA MWILI NA MATAJIRI WA ROHO MAANA HAO WATAMUONA YESU KRISTO
JE ITAMFAIDIA NINI MTU AKIUPATA ULIMWENGU MZIMA LAKINI AKAUKOSA UZIMA WA MILELE?
Kama hapa tumerudi kuja kuchapa umbea kwako mtandaoniKitaa sio safi!
kuna muda hauwezi kuyaondoa machungu kwa kulia bali inahitaji busara ya kujitia upofu wa kuyaona machungu yako,unaweza ukalia ila yakawa ya samaki na remi ongala.
Sisi watanzania wengi wetu ni makapuku mfuko mmoja wa suruali ni mzima ila mwengine ni mbovu,unashinda masikani kulala nyumbani, kila muda unagombezana na madogo zako, hali si shwari mtandao ni mkombozi pekee ila usijisahau mwisho utabaki mpweke kucheka na kupoteza muda kwa simu yako kuna gharimu maisha yako, bando la buku lisaa limekata unaomba na kupiga vizinga unaingia hewani baadae unaenda kukomenti umbeya na kuwasema waliofanikiwa.
Ndiyo maisha ya kujifariji
nchi imechoka maisha magumu watu wanakula mlo mmoja kwa siku lakini wamo tu , kwakweli ni bora uwe na chakula kwenye vita kuliko amani uchwara kwenye njaa, watu wamechoka sana maisha magumu mafuta bei ghali vyakula ndio usiseme wakati huku ulaya wenzetu wanatupia mifugo vyakula , sijui huko tuna laana gani.Kitaa sio safi!
kuna muda hauwezi kuyaondoa machungu kwa kulia bali inahitaji busara ya kujitia upofu wa kuyaona machungu yako,unaweza ukalia ila yakawa ya samaki na remi ongala.
Sisi watanzania wengi wetu ni makapuku mfuko mmoja wa suruali ni mzima ila mwengine ni mbovu,unashinda masikani kulala nyumbani, kila muda unagombezana na madogo zako, hali si shwari mtandao ni mkombozi pekee ila usijisahau mwisho utabaki mpweke kucheka na kupoteza muda kwa simu yako kuna gharimu maisha yako, bando la buku lisaa limekata unaomba na kupiga vizinga unaingia hewani baadae unaenda kukomenti umbeya na kuwasema waliofanikiwa.
Ndiyo maisha ya kujifariji
Hatuna laana ni akili tu hamnazonchi imechoka maisha magumu watu wanakula mlo mmoja kwa siku lakini wamo tu , kwakweli ni bora uwe na chakula kwenye vita kuliko amani uchwara kwenye njaa, watu wamechoka sana maisha magumu mafuta bei ghali vyakula ndio usiseme wakati huku ulaya wenzetu wanatupia mifugo vyakula , sijui huko tuna laana gani.