Watanzania wengi wafeli kununua wimbo wa diamond ft neyo - Elimu

ubarinolutu

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2012
Posts
2,424
Reaction score
4,954
Wimbo wa Neyo na diamond umeingizwa rasmi i tune ambako unauzwa kwa pesa, lakini chakustaajabisha ni kuwa watu wengi wameshindwa kuununua wimbo huo kutokana na elimu ndogo ya manunuzi ya wimbo kwa i tune, pia i tune ina mambo ya credit card ambayo yamewaweka wabongo mahali pabaya. Kwa hiyo kwa mtaalamu yeyote anayejua jinsi ya kununua wimbo wa diamond i tune atusaidie wengi wetu ambao ambao elimu ndogo

Taarifa kutoka kwa babu tale zinasema wimbo huo ni final version na hauna mikato mikato kama ule ambao wafanyakazi wa clouds kina pafecto waliusambaza, Kengine cha kushangaza watanzania wengi katika page ya ukurasa wa neyo wa istagram wanausifia, wakati hawajaudownload.

Kitu kingine ni kwamba muziki wa darasa umeshaanza kupotea, kajiandae imepotea, kokoro imepotea, kidogo imepotea, aje imepotea, traki kali sasa ni ya vanesa mdee
 
Kwann hawaiachii na huku kwetu tudownload.....
 
Sio kweli uimbaji ule wa Vanessa ateke soko la bongo!
Darasa bado iko vizuri Ingawa ni staili ile ambayo baada ya muda mfupi unakinai!
Kuanzia Jana mtaani ni [HASHTAG]#Jide[/HASHTAG] ft [HASHTAG]#Shemejiwataifa[/HASHTAG] #spicy-Belong together
muziki wa Darassa umeshaanza kutukinahi
kwa sababu wameufanya kama chips kila kona
kila station mpaka imekua kero sasa sio burudani!!?
media zetu za ajabu sana , zinachujisha mziki mno
mziki ukishaujua mashairi yote basi umeshachuja!!
wapunguze kuupa kiki wanauchujisha
 
Mziki hauwezi kuchuja kama bado mtu unaupenda, navyojua ukiukinai mziki ndo umechuja .
 
Sema umechuja kwako...kama umeuchoka wewe sio wote..ngoma kama inabamba acha ibambe...acha maneno weka muziki...
 
Sio kweli uimbaji ule wa Vanessa ateke soko la bongo!
Darasa bado iko vizuri Ingawa ni staili ile ambayo baada ya muda mfupi unakinai!
Kuanzia Jana mtaani ni [HASHTAG]#Jide[/HASHTAG] ft [HASHTAG]#Shemejiwataifa[/HASHTAG] #spicy-Belong together
Hivi huyo shemeji wa taifa ni mwanamuziki pia? ni mtanzania?
 
Sema imebuma.
 
Acha Maneno weka muziki,Bla bla bla hatutaki kusikia.
 
Kweli kabisa yani darasa nyimbo imepigwa hovyo sanaa mpaka watu wameichoka,kwa kweli hawakumtendea haki kupiga piga hovyo wakati waTZ wanatabia ya kuchoka kitu mapema
 
Nilisema hapa huo upepo wa muziki utapita...
 
Ila jamani kuhusu nyimbo ya darasa ni kweli, yaani sasa hivi nikiweka nyimbo zake nasikiliza utanipenda na too much, muziki naufoward wakati mwanzo ilikuwa naupiga kila wakati.

Ila tuwe wakweli mimi pia jana niliangaika kudownload i tune nikachemsha, mpaka nikasikia aibu
 
Kweli kabisa yani darasa nyimbo imepigwa hovyo sanaa mpaka watu wameichoka,kwa kweli hawakumtendea haki kupiga piga hovyo wakati waTZ wanatabia ya kuchoka kitu mapema
ukiwaambia watu wanasema wivu...
Watz hatuchelewi kuchokakitu jamani.!!
mimi huwa nachukiaga hata hizi system za kudownload miziki... hovyo
zamani mziki mpaka ungoje wapige redioni ndio maana miziki ilichelewa kuchuja!! ukisema wanasema hater...
 
Wabongo wazee wa vitonga wanausubiria kwa bekaboy waudownload, alafu baadaye unasikia anajitamba mimi ni team fulani yaani BLOOD FAN wa msanii fulani, kumbe hajawahi hata siku moja kununua kazi zake, kazi kushinda instagram kutukanana na team nyingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…