Mwanyasi
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 7,955
- 7,109
Ni nunue wimbo?Wimbo wa Neyo na diamond umeingizwa rasmi i tune ambako unauzwa kwa pesa, lakini chakustaajabisha ni kuwa watu wengi wameshindwa kuununua wimbo huo kutokana na elimu ndogo ya manunuzi ya wimbo kwa i tune, pia i tune ina mambo ya credit card ambayo yamewaweka wabongo mahali pabaya. Kwa hiyo kwa mtaalamu yeyote anayejua jinsi ya kununua wimbo wa diamond i tune atusaidie wengi wetu ambao ambao elimu ndogo
Taarifa kutoka kwa babu tale zinasema wimbo huo ni final version na hauna mikato mikato kama ule ambao wafanyakazi wa clouds kina pafecto waliusambaza, Kengine cha kushangaza watanzania wengi katika page ya ukurasa wa neyo wa istagram wanausifia, wakati hawajaudownload.
Kitu kingine ni kwamba muziki wa darasa umeshaanza kupotea, kajiandae imepotea, kokoro imepotea, kidogo imepotea, aje imepotea, traki kali sasa ni ya vanesa mdee
Wala siufahamu, kununua wimbo haiwezekani.
Hivyo sababu ulioweka siyo general