Watanzania wengi wafeli kununua wimbo wa diamond ft neyo - Elimu

Watanzania wengi wafeli kununua wimbo wa diamond ft neyo - Elimu

Wimbo wa Neyo na diamond umeingizwa rasmi i tune ambako unauzwa kwa pesa, lakini chakustaajabisha ni kuwa watu wengi wameshindwa kuununua wimbo huo kutokana na elimu ndogo ya manunuzi ya wimbo kwa i tune, pia i tune ina mambo ya credit card ambayo yamewaweka wabongo mahali pabaya. Kwa hiyo kwa mtaalamu yeyote anayejua jinsi ya kununua wimbo wa diamond i tune atusaidie wengi wetu ambao ambao elimu ndogo

Taarifa kutoka kwa babu tale zinasema wimbo huo ni final version na hauna mikato mikato kama ule ambao wafanyakazi wa clouds kina pafecto waliusambaza, Kengine cha kushangaza watanzania wengi katika page ya ukurasa wa neyo wa istagram wanausifia, wakati hawajaudownload.

Kitu kingine ni kwamba muziki wa darasa umeshaanza kupotea, kajiandae imepotea, kokoro imepotea, kidogo imepotea, aje imepotea, traki kali sasa ni ya vanesa mdee
Ni nunue wimbo?
Wala siufahamu, kununua wimbo haiwezekani.
Hivyo sababu ulioweka siyo general
 
muziki wa Darassa umeshaanza kutukinahi
kwa sababu wameufanya kama chips kila kona
kila station mpaka imekua kero sasa sio burudani!!?
media zetu za ajabu sana , zinachujisha mziki mno
mziki ukishaujua mashairi yote basi umeshachuja!!
wapunguze kuupa kiki wanauchujisha
Dah! hivi wewe...umeandika kwa kutumia uzoefu!!!.....au kwa kutumia vidole!!!!??
 
Hela ya neyo atakayo ipata watagawiana na diamond au ataipiga kimya kimya
 
Mziki wenye mpangilio mzuli ulio nyooka huwa unaishi milele huwa hauchuji
 
Mimi nasubiri mkiudownload ntaupata kwa bluetooth au whatsapp
 
Mimi ninao tangu juzi ningeuweka hapa lakini law za biashara zinanibana
Lakini hakuna jipya ni ileile uliovuja kilichobadilika ni biti tu imenyooka ile ya mwanzo ilikuwa inarukaruka
 
Acheni wivu nyie wafuasi wa diamond eti nyimbo ya darasa imekua kero kisa iyo kokoro imepotea ndo mnaleta wivu wa ajabu mbona wakati wa salome hamna aliyesema ni kero..
 
Wimbo tayar upo kwa Millard ayo. Ni wakawaida . Bubblegum music. Labda video yake itafanya makubwa...
 
mimi nataka niongee kitukimoja tu kitu kizuli acha tukipe sifa yake kama kitu kitaya acha tukipondee namini wimbo wa dalasa ni mzuli tena unaujumbe wakutisha kama unahakili lazima utauelewa mana yake ni nini nameimba kumanisha nini mana kaelimisha watu baazi ya wasanii waypnajalibu kundisi wezao wanashidwa kufanya ya kwao ndomana kamua kufikisha ujumbe kwa walengwa mimi nihayotu naomba niishie hapo asubuhi jema
 
muziki wa Darassa umeshaanza kutukinahi
kwa sababu wameufanya kama chips kila kona
kila station mpaka imekua kero sasa sio burudani!!?
media zetu za ajabu sana , zinachujisha mziki mno
mziki ukishaujua mashairi yote basi umeshachuja!!
wapunguze kuupa kiki wanauchujisha
It was a mere fluke!
 
Sio elimu inayosababisha watanzania kushindwa kununua nyimbo iTunes, Bali watanzania ni watu wa kupenda vya bure mwendo wa copy tu alafu unakuta anaendesha gari la million 60 mziki mkubwa nyimbo zinazopigwa zimepakuliwa bure au copy kwenye CD kwa sh.500/=
 
hakuna nyimbo ya bure hatasiku monja nyimbo zote nizakulipia kwani kama unaamini kwaba siwakulipia kwanini unajilushaga ili kupata bando la embi
 
Back
Top Bottom