Vhagar
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,550
- 39,949
Kwanza Hongereni kwa kufanikiwa kufuzu AFCON mwaka huu baada takribani ya miaka 38.
Pil tu niwe muwazi mimi ni mmoja ya wale tuliopata bahati ya kuwa warefu.
Ila kusema ukweli watanzania wengi wafupi mno kwa kweli. Nadhani kuna haja ya kulitazama hili swala kwa jicho la tatu, kwa mstakabali wa mwendelezo wa kizazi chetu.
Ikiwezekana mashuleni kwenye mambo ya genetics basi wanafunzi wafundishe hata unapotaka kuchagua mwenza basi hakikisha angalau unachagua yule mnaepisha kimo ili angalau kutokomoza tatizo la ufupi.
Kwa sababu nimegundua pia inachangiwa pia unakuta mtu mfupi then anaoa mfupi mwenzie.
Inashangaza mimi naonekana mrefu wakati ukienda maeneo mengine mimi ni wakawaida tu. Sijabahatika kufika nchi za wenzetu hasa Ulaya, lakini hawa wote ninaowaonaga hapa kwetu wengi ni wana vimo vya kuridhisha sana. Yaani hata mimi nikikaa katikati yao naonekana wa kawaida tu. Ukiangalia hata hapa Afrika mashariki wenzetu kuna unafuu aisee.
Nb: Samahanini kwa wale warefu kwenda chini kama nitakuwa nimewakwaza.
[emoji2398]Troublemaker 2019. All right reserved