Labda niseme ufupi sio shida SHIDA ni IQ ,mbona wenzetu wachina na wajapani na ndugu zao wafilipino na wakorea ni wafupi lkn mambo yao yako poa?
Cha muhimu hapa nikuacha kung’ang’ania “Staple food “ambazo wataalamu wanasema zinadumaza Akili,watu wamekalia kudanganyana eti Dona dona ndio kila kitu kumbe ndani yake kuna sumukuvu,wenzetu nchi zinazoongoza kwa Mi IQ mahindi na ndugu yake Mihogo ni chakula cha mifugo na kama vitatumika ni kwa Kiasi kidogo tu!
Kwa taarifa hakuna gene ya Ufupu kwa watanzania ni KUDUMAA wazungu wanaita “Stunting”kwa wale waliopata Bahati ya kusoma Nutrition watanielewa ni baadhi ya makabila machache Tz hasa ya ukanda wa pwani kusini ndio kuna specimen ndogo ndogo other wise tunachokiface ni malnutrition yaani ukuaji wetu wa kimo kwa umri hauko sahihi.ukitaka (Ku prove mchukue kijana wa miaka let’s say 15 ambaye bado hajamaliza kukua lkn pia ameshaonyesha atakuwa kiasi gani mpeleke Marekani baada ya miaka 3 arudi kusalimia bongo hapo ndio utajua hakuna mfupi Bongo)
Mwisho,kuna mtu alikuwa ana describe jinsi ya kujua umefika bongo akasema ukishuka tu Airport utakuta watu wadogo wadogo wasiolingana vimo kwakweli iliniuma sana,kwakweli imefika wakati wa kutokomeza hii mbegu Acha na sisi tukue kwenye kimo chetu Mungu alichotupangia tule moo sahihi tuache tabia ya kula ili tuishi ,tufanye kazi tuinue uchumi ili uwezo wa kula mlo sahihi uwepo
Angalizo chakula bora sio chips Mayai kama most of us tunavyofikiri[emoji16][emoji16][emoji4][emoji4][emoji4]
Sent using
Jamii Forums mobile app