Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 10,963
- 13,287
Wewe mbona Pierre Konki anajiamini[emoji23][emoji23]Huwa hawajiamini hasa wanaume mara zote huisi wao wanadharauliwa, Wanatafuta nafasi ya kuonyesha uwepo wao kwa nguvu[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji2398]troublemaker 2019. all right received.
Labda niseme ufupi sio shida SHIDA ni IQ ,mbona wenzetu wachina na wajapani na ndugu zao wafilipino na wakorea ni wafupi lkn mambo yao yako poa?
Cha muhimu hapa nikuacha kung’ang’ania “Staple food “ambazo wataalamu wanasema zinadumaza Akili,watu wamekalia kudanganyana eti Dona dona ndio kila kitu kumbe ndani yake kuna sumukuvu,wenzetu nchi zinazoongoza kwa Mi IQ mahindi na ndugu yake Mihogo ni chakula cha mifugo na kama vitatumika ni kwa Kiasi kidogo tu!
Kwa taarifa hakuna gene ya Ufupu kwa watanzania ni KUDUMAA wazungu wanaita “Stunting”kwa wale waliopata Bahati ya kusoma Nutrition watanielewa ni baadhi ya makabila machache Tz hasa ya ukanda wa pwani kusini ndio kuna specimen ndogo ndogo other wise tunachokiface ni malnutrition yaani ukuaji wetu wa kimo kwa umri hauko sahihi.ukitaka (Ku prove mchukue kijana wa miaka let’s say 15 ambaye bado hajamaliza kukua lkn pia ameshaonyesha atakuwa kiasi gani mpeleke Marekani baada ya miaka 3 arudi kusalimia bongo hapo ndio utajua hakuna mfupi Bongo)
Mwisho,kuna mtu alikuwa ana describe jinsi ya kujua umefika bongo akasema ukishuka tu Airport utakuta watu wadogo wadogo wasiolingana vimo kwakweli iliniuma sana,kwakweli imefika wakati wa kutokomeza hii mbegu Acha na sisi tukue kwenye kimo chetu Mungu alichotupangia tule moo sahihi tuache tabia ya kula ili tuishi ,tufanye kazi tuinue uchumi ili uwezo wa kula mlo sahihi uwepo
Angalizo chakula bora sio chips Mayai kama most of us tunavyofikiri[emoji16][emoji16][emoji4][emoji4][emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wachina ni wafupi na wana maelfu ya innovations wewe mrefu ukute hata kubuni kiwanda cha magufuli umeshindwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mpango gani akati madem warefu hawatak watu wafupi[emoji3][emoji3][emoji3] wewe mtu mfupi wa Tanzania umebuni nini. [emoji3]Acha ubishi fanya mpango kizazi chako kijacho kipande kimo aiseeh ufupi unaboa, sidhani kama unaupendelea.
[emoji767]troublemaker 2019. all right received.
Isiokeeeee... Ntaanza kutembea nimetanua mikono kama kuku mwenye kiu mkuu! 😂😂😂Wewe ni mrefu mkuu tamba
[emoji767]troublemaker 2019. all right received.
Hapa Tanzania ukianzia Tanga kwenda morogoro na sehem za uparen, asili yao ni wafupiMimi sidahni kama ufupi ni asili yetu aisee. Ndio mana kuna wengine warefu pia.
Naona wengi mnatolea mifano watu wa asia hasa china, lakini unakuta karibu wotee wale vimo vinalingana, so ufupi ni asili yao.
[emoji767]troublemaker 2019. all right received.
Mimi ni mfupi,sasa urefu unatija gani kwenye nyanja kama biashara,elimu,sanaaa,dini,sayansi!?Kwanza Hongereni kwa kufanikiwa kufuzu AFCON mwaka huu baada takribani ya miaka 38.
Pil tu niwe muwazi mimi ni mmoja ya wale tuliopata bahati ya kuwa warefu.
Ila kusema ukweli watanzania wengi wafupi mno kwa kweli. Nadhani kuna haja ya kulitazama hili swala kwa jicho la tatu, kwa mstakabali wa mwendelezo wa kizazi chetu. Ikiwezekana mashuleni kwenye mambo ya genetics basi wanafunzi wafundishe hata unapotaka kuchagua mwenza basi hakikisha angalau unachagua yule mnaepisha kimo ili angalau kutokomoza tatizo la ufupi.
Kwa sababu nimegundua pia inachangiwa pia unakuta mtu mfupi then anaoa mfupi mwenzia.
Inashangaza mimi naonekana mrefu wakati ukienda maeneo mengine mimi ni wakawaida tu. Sijabahatika kufika nchi za wenzetu hasa ulaya, lakini hawa wote ninaowaonaga hapa kwetu wengi ni wana vimo vya kuridhisha sana. Yaani hata mimi nikikaa katikati yao naonekana wa kawaida tu. Ukiangalia hata hapa Afrika mashariki wenzetu kuna unafuu aisee.
Nb:samahanini kwa wale warefu kwenda chini kama nitakuwa nimewakwaza.
[emoji2398]troublemaker 2019. all right received.
Sijajua inaanzia ngapi ila huyo demu alinizidi urefu sana hadi nikawa naona aibu
Kiburi cha uzima hicho, ngoja siku utenguke kiuno au mguu kwa ajali ndipo utajua nini maana ya ulemavu.Nina 6'1 huwa napata shida sana kumwinamisha demu mfupi vichochoron...nabonyea adi miguu inauma ndo mana nimeacha.
Ufupi ni ulemavu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sorry mkuu kama na wewe ni mfupi, muhimu usije oa mfupi mwenzio. Unaweza kujikuta ukoo wenu wote unaendelea kuwa na kizazi cha watu wafupi.
[emoji2398]troublemaker 2019. all right received.
Kuwa na pesa haihusiani na ulemavu, N'golo alidumaa katika hatua za ukuaji..... watoto wake hawawezi kurithi kimo chake.