Chikenpox
JF-Expert Member
- Oct 15, 2022
- 784
- 1,246
Watanzania wamekaa kiwizi wizi haijalishi ni mapasta, Madre, maaskofu au waamini. Ukitaka kujua Hilo mlemle kanisani dondosha elfu kumi halafu unifanye hujaiona nakwambia hata yule aliyekuwa ananena kwa lugha kwa Julia kabisa akiiona atachukua fasta na hakupi.
Kila siku watu wanashinda makanisani lakini wizi umeongezeka wa simu, radio, pesa nk na wanaoiba wengi ni Hawa wanaonena kwa lugha na wizi huo kuupa jina zuri eti mungu ameamua kumpa kwa njia ya kumnyanganya mwingine.