Watanzania wengi wana tatizo la uelewa na ufahamu (upeo mdogo). Hii inawapa mwanya wajanja kuwatapeli kirahisi

Watanzania wengi wana tatizo la uelewa na ufahamu (upeo mdogo). Hii inawapa mwanya wajanja kuwatapeli kirahisi

Tezi dume inapimwa kwa kuingizwa kidole,unadhani waliopimwa waliandika barua ya maombi ili waingiziwe hivyo vidole???

Upeo mdogo wa kufikiri unaupimaje??wakati wa dharula!!!hivi gari ikikata break mteremkoni inahitaji dereva mwenye upeo kiasi gani kutopindua gari??jibu kwa rejea ya udereva wa keybod😄sio barabarani zingatia.

ndio sababu nikaandika ni matatizo hufanya watu kukosa utulivu mpaka kufanya mambo ambayo sio ya kawaida kabisa.

Wewe unajua matatizo ya wanawake mkuu🤭🤭,au tunapiga tu soga hapa!!!!


Haaya mkuu.

😀😀
Mkuu Sasa tezi dume, kwani hujui tofauti ya kidole na uume?

Unajaribu kunishawishi lakini Bado mkuu
 
😀😀
Mkuu Sasa tezi dume, kwani hujui tofauti ya kidole na uume?

Unajaribu kunishawishi lakini Bado mkuu
Yote ni mambo ambayo huwezi kubali kufanyiwa ukiwa huna shida yoyote,ukimruhusu mtu aingize kidole ameweka uume tayari isipokuwa hakukojoa😁
 
Mimi ningependa mada kama hizi ziguse pia na mambo ya sayansi huko, maana huko nako unakuta watu wamekaririshwa mambo kupitia mgongo wa sayansi wakati kumbe hakuna uthibitisho wa kisayansi wa hayo mambo.
 
Babu wa loliondo aliletwa na serikali ili kuziba pengo la mgomo wa madakitari.

Hakuna MTU yeyote aliyepona baada ya kunywa kikombe .
Umejuaje katika watu wote waliyokunywa kikombe hakuna aliyepona? Ulifanya vp utafiti na kuhitimisha hivyo?
 
Ukweli ni Ukweli siku zote. Ukweli hauangalii mazingira labda kama hujui maana ya Ukweli.

Sawa naendelea kukua, nawe endelea kukua katika Ukweli
Mazingira yanachangia mkuu, mfano mtu anayeishi ulaya huko anaweza kusema hakuna uchawi kutokana mazingira anayoishi yalivyo watu hawajihusishi na hayo mambo na hivyo visa vyenye kuhusishwa na uchawi ni vidogo mno, lakini mazingira ya afrika kuna visa vingi vyenye kuhusishwa na uchawi kiasi kwamba hata tukisema hakuna uchawi itabaki kazi ya kuvielezea hivyo visa vyenye kuhusishwa na uchawi kuwa si uchawi bali ni nini?
 
Bro unaandika ndefu sana....
Nimesoma title ina ukweli 102%
 
Back
Top Bottom