Watanzania wengi wanaamini adui yao mkuu alikuwa ni Sabaya. Wamefurahi wameridhika Maisha yanaendelea. Adui Mkuu anatabasamu tu

Wabongo wepesi sana, bado sana yani, imagine hadi watu wanaweka status picha ya jamaa akimlilia mwendazake, wengine wanataka rc wa Mbeya aondolewe, wafurahie zaidi. Hovyo kweli kweli
Usishangae wakaondolewa tuliambiwa Mh SSH anafatilia habari za mitandaoni na huenda Aya ndo matatizo ya watanzania anayafanyia kazi mkuu...Time will tell
 
Mkuu jaribu kuingia mtaani halafu uanze kuuliza hao watanzania ujue wangapi wanamjua huyo Sabaya ni nani? Wangapi wanayajua hayo aliyokuwa akiyafanya huyo Sabaya na kwa kiasi gani? Na wangapi wana mitazamo kwa huyo Sabaya sawa na hii mitazamo ya huku mitandaoni?

Chizi Maarifa
 
Kwa kuongezea tu,kutokana na kutojitambua kwa wanaume wa kitanzania wazungu wanajiandaa kuja KUWAOA..
Mkuu umeandika vizuri lakini waambulia MATUSI
 
Amechukuliwa hatua gani?????!!!!! Dude are you kidding me???!!!! Are you for real man???!!
Unafikiri bongo hakunaga watu wanaolindwa
 
Hizi verses huwa zinatumika sana ku'justify' mambo ya ovyo ovyo. Ni kama text inayotumiwa na wanasiasa na washirika wao: 'tiini mamlaka kwa sababu yamewekwa na Mungu' (Warumi 13:1-7).
 
Nimesoma andiko lako kea umakini Sana lkn kea kiasi kikubwa limekosa mashiko.labda nitulize ni watanzabia wangapi waliokuwa wanajua makonda au sabaya.je ni nani hao ambao wamefurahia kuondolewa kwa makonda au sabaya ktk vyeo vyao?je ni kweli watanzania hawana akili na hawajui yanayoendelea nchini kwao?je kweli watu wa Arusha au dar ndo walikuwa wanawachukia hao watu au ni kakundi tu kadogo la majizi na kakifisadi ndo kalikuwa kinyume na hao watu.je haji kakikundi kanaweza kuwawakilisha watanzania wote? Nadhani ukiyatafakari maswali yangu kwa kina utakuwa ktk nafasi nzuri ya kuliweka au kubadilisha kabisa bandiko lako ili liweze kuwa na hoja vinginevyo nalichukulia bandiko lako Kama ni upotoshaji Kama ulivyo mwingine.
 
Nilivyomuelewa Rais akamsimamisha kupisha uchunguzi dhidi ya tuhuma zinazomkabili. Sasa tusubiri baada ya uchunguzi Nini kitafuata.
 
Mie hata sielewi umeandika ujinga gani
 
Chief umejaribu kutaka kutuelewesha. Lakini nakwambia mtoa maada hata haeleweki. Kwake yeye mtoa mada hata hao jamaa wakiadhibiwa haitaondoa umaskini wa watanzania. Ndio hoja yake. Sasa Mimi nasema hivi. Siye ni maskini yesi, tuacheni na umaskini wetu tumeizoea. Msituletee tena viongozi makatili kama sabaya, makonda etal kuja kutuletea machungu zaidi ya huu umaskini tilonao kwa kujeruhi, kuua ama kupoteza ndugu zetu.
 
Huelewi. Nashangaa nmetumia kiswahili chepesi sana na bado hujaweza kuelewa. Nmekuuliza makonda mbali na kutokuwa na cheo aliadhibiwa vipi? Nlikuuliza nani aliwahi fungua kesi juu ya sabaya au sasa kaenda fungua kesi? Shida mnasoma mwa mihemko mnashindwa hata kuelewa vitu vyepesi. Kwa hiyo mnaamini mtu akivuliwa cheo ndo amepata adhabu inatosha? Huu ni upumbavu. Akili ni kutaka hatua zaidi zichukuliwe
 
Una njaa? - NDIO
Umeshiba? - NDIO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…