Watanzania wengi wanakula anasa na siyo bata

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
23,928
Reaction score
63,499
Mtu anayekula Bata ni mtu anayeishi Maisha yake bila kelele, anakula vizuri, Analala pazuri Na kipato chake ni constistence.

Lakini hizi wanazoziita Bata za vijana ni Anasa, haiwezekani ule Bata then uanza kulalamika umepewa UTI Sugu na Fangas 🙊.

So tofautisheni kati ya kula Bata na Anasa.
 
Mkuu kuna aina ngapi za kula bata? Ukiachana na hiyo ya fangasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…