Sun is Sun
JF-Expert Member
- Mar 13, 2024
- 1,254
- 2,014
Ni ujinga tu unawasumbua, kama mtu hujui Kingereza ni bora akae kimya.Habari zenu?
Tafadhali nawaomba Ndugu zangu, kama uñajua lugha haipandi usilazimishe. Kiswahili ni lugha pia.
Asanteni.
Wanasema mazoezi yanasaidia mambo ya lugha kukaa sawa .Habari zenu?
Tafadhali nawaomba Ndugu zangu, kama uñajua lugha haipandi usilazimishe. Kiswahili ni lugha pia.
Asanteni.
Mimi nasema Watanzania wazidi tena na tena kuongea Kiingereza hata kama ni broken.Habari zenu?
Tafadhali nawaomba Ndugu zangu, kama uñajua lugha haipandi usilazimishe. Kiswahili ni lugha pia.
Asanteni.
Sasa ndugu yangu utaijuaje lugha bila kukosea? Kiswahili tunakijua, lazima sasa tujue na zingine na hutaki tukosee dah .. Ila mzungu akikosea Kiswahili unampongeza na kumtia moyo.. Sawa basiHabari zenu?