watanzania wengi wanatia huruma kwenye presentation chuoni nje ya nchi.

My name is king wa tatu am from chadema mbeya,i have three creeds profeshenale am politishian hevingi hevingi nolegi in politiko sayansi and intaneshino lileshenishipu ma daile bledi amu contakta with kampan young ladies amu sole amu glade amu withdrowing from this sredi.

====================
Ukipata Ujumbe wa Chuki Matusi Futa Delete Kabisa.
====================
 


You are a way too pompous chap!!!!!
Nilikueleza kule kuwa wewe ni mshamba wa elimu na majivuni ila maarifa baaado sana utakuwa mzuri wa kukariri na polished english ila hujakomboka na.elimu yako kama unayo!!!!!! Achilia mbali vyeti...

Hebu rudia mada halafu useme umechangia nini zaidi ya majivuno tu na ujinga ambao sisi tuliona kama ni sehemu ya kujifunza tu ndio maana inaitwa presentation sasa bila malumbano ya hoja itakuwaje? ???!!!!!Ila kwako imekuwa ni CV kabisa yaaani mbele za watu unajipambanua,hiyo ni routine kwa mwanafunzi makini na mwalimu mleaji!!!!!!!!

Badilika attitude na perspective wewe mtu!!!!! Paradigm unayotumia katika mijadala ya kijamii niliyowahi kuishiriki inaku paint kama mkoloni mweusi flani hivi!!!!


Shauri sasa wadogo zetu wafanyaje ili kuweza kumudu lugha?????!!!!
Wewe ulipitia njia gani ili waweze kuwa kama wewe au zaid (upande wa lugha tu)!!!!!
Any readings kuwasaidia????
Experience yako itasaidiaje wao kujikwamua?????? ila sio huu ----- wa hapo juu please!!!!!
Any site with online tutorials????!!!!!

Cc Mshinga, Nyani Ngabu, Eiyer
 
Alafu tabia ya watanzania wanaoenda kusoma collage huko ughaibuni wakija hapa wanasema wamesoma university waacheee,wanaoenda kusoma ughaibuni wachache ndio wenye uwezo waliwengi hupewa nafasi kwa kujuana,ua uwepo wa pesa home
Unless niwe sijakuelewa .... ila ulichoandika hapo kinasisitiza ukweli wa mada hii kwa mfano halisi.
 
hili tatizo ni common na sugu sanaaaaaaa kwa wanavyuo na hata watu waliopo maofisini...weeeengi tu
 

ndiyo awa walengwa wenyewe
 

Msingi ukishakuwa mbovu usitegemee kuja kuimrove huku juu, nadhani hata serikali yetu inakosea kwenye kutuandaa tangia udogoni
 
ata waziri wetu wa elimu ndio maana alichemka south ata kupelekea kusema tanzania ni muungano wa zimbabwe na visiwa vya pemba

Ndo aina ya viongozi ccm waloko nao hawajui hata historia ya nchi yao
 
Mkuu ni kweli lugha ya kingereza bado ni tatizo kubwa na si kwa wanafunzi tu hata kwa watu wazima. Kuna documentary niliangaliaga ya jamaa mmoja wa CNN alikua anamhoji mhadhiri wa UDSM sijui profesa nani vile kuhusu albino killings, daah aisee nilijisikia aibu kwa kweli kwa kingereza cha yule profesa.
 
Je kujua kizungu ndio kusoma?mbona mfanyakazi wetu wa ngombe anajua kingereza ila yeye ni raia wa kenya je unaweza kumpa office kwa sababu ya lugha?kujua lugha kwa ufasaha(umahiri) ni kazi ngumu sana ,kwa watanzani lugha mama ni kibantu,lugha ya pili ni kiswahili au kingereza je unadhani mtu huyu ataweza kufahamu kingereza kama anavyofaham lugha lake ya kwanza? Kujua lugha haina haja ya kujifunza darasani ila mazingira ndio yatakayo kufanya kuifahamu lugha kwa ufasaha,kinachokwamisha tanzania kutokuijua lugha zote mbili kwa ufasaha mazingira hayaruhusu.
 
ndiyo awa walengwa wenyewe

Siyo Kidhungu tu! Hata Kiswahili ni tatizo, sijui sisi ma-mburula ya ki-TZ ni kipi tunachoweza? Mahali tunapopaswa kuandika NDIO tunaandika NDIYO! Tunapopaswa kuandika HAWA AU HAO tunaandika AWA au AO! Tubadilike!
 

Muhammad Ali said " it ain't bragging if you done it"

Kuna mtu katu paint wabongo tuliosoma nje kama kiingereza kinatupiga chenga sana vyuoni.

Nilitaka kuonesha upande mwingine tu kwamba kuna watu tulichachafya mpaka tukaambiwa hatuhitaji kufanya mtihani wa mwisho wa semester.

Unaniita pompous halafu unaniomba msaada. Wewe zimo kichwani kweli? Mimi kuonesha mfano tu kwamba this need not apply to all Tanzanians nisha inspire wengi na kusaidia.

Unataka ushauri kutoka kwa mkoloni mweusi? Baniani mbaya, kiatu chake dawa. Kachimbe chumvi tu.

Wewe hate tu.

We've been rocking big bang presentations since Peter Jennings was an anchor.While the Mwenge rallies that got your dad into Dar were probably in the future.

Whachu know about that?
 
Ukisha mbwela toka ukiwa olevo bhasi ndo imetoka hio usitegemee kuja kuimprove advance au chuo. Labda uende english course
 
Kiswahili lugha ya Taifa lakini bado kinatatiza baadhi yetu, sembuse Umombo!!!
 

nenda ukasoma marekan harafu kuwe na presentation lazima aja ndogo na kubwa zikutoke. we sema hivo tu
kujua lugha si kigezo cha kuonyesha umesoma ila ukisoma nje lugha kuu ni english lazima uijue
 
Alafu tabia ya watanzania wanaoenda kusoma collage huko ughaibuni wakija hapa wanasema wamesoma university waacheee,wanaoenda kusoma ughaibuni wachache ndio wenye uwezo waliwengi hupewa nafasi kwa kujuana,ua uwepo wa pesa home

Duh kweli kingereza ni kigumu
 
nenda ukasoma marekan harafu kuwe na presentation lazima aja ndogo na kubwa zikutoke. we sema hivo tu
kujua lugha si kigezo cha kuonyesha umesoma ila ukisoma nje lugha kuu ni english lazima uijue

Nina mpango wa kwenda kuchukua master ya Public administration huko huko kwa wakoloni acheni hofu kitu ambacho sio chako huwezi kuwa mahiri nacho,kama unajua kingereza ukiwa ndotoni ongea kizungu kama kuna mtanzania ataweza,kuna watu wana masters ya linguistic ila kichani hakuna kitu lugha si mchezo lugha ina mawanda mapana mno hutoweza kujua kila kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…