watanzania wengi wanatia huruma kwenye presentation chuoni nje ya nchi.

mkuu iko kiswahili chako kinatia huruma ebu angalia neno kingereza ulivyoandika !! wewe ata ufundishwe kirusi miaka 5 uwezi jua. Unaenda kutia huruma kwenye presentation, pole sana.

Washamba wakipiga vijiumande wanajiona wamefiiiika hongera bwana dictionary yangu ya TUKI inaniambia neno sahihi ni kiingereza na sio kingereza na umbulula wako ione hapa; Kiingereza nm [ki-] English (language)
 
Acheni ushamba...hivi hao wa ulaya wakija kwetu huwa wanajua kishwahili eehh??? Mbona na wao wanatia aibu sana kwenye plizentesheni ze way yu seidi tu azi...umagharibi umekuteka sana...
 



Ukibishana na mwalimu darasani Bongo unaonekana hauna heshima, they just want you to hear what they have to say ila si what you have to say ili mjadala uwepo na ndiyo maana elimu yetu ina inferiority fulani kiasi kwamba hata a university graduate wa UDSM anashindwa kuji express mbele za watu, yaani full majanga. Majuzi tu hapa alipokuja Obama Kikwete si alichemka kwa maswali ya kitoto mpaka nikamuonea huruma Mkwe.re wa watu jinsi alivyokuwa anazichanganya verbs....ze iz mi, it iz vere, yaani basi tu....majanga!
 

Ona dogo anamfundisha mwalimu.

Mtoto wa sekondari akimfundisha mwalimu hivi bongo anafukuzwa shule. Hatufundishwi independent thinking.

Halafu watu wakiwa na mechanical Borg-like thinking tunashangaa.

Wenzetu wanasifia iconoclastic principles. That's one of the things I wanted to point out.

 
Last edited by a moderator:




Kwa hapa Tanzania huyu anafungwa ama anamwagiwa tindikali, kisa eti anajifanya anajua sana.
 
Last edited by a moderator:
Kwa hapa Tanzania huyu anafungwa ama anamwagiwa tindikali, kisa eti anajifanya anajua sana.

kwa apa tanzania atapigwa majungu na kutengwa. kwa nchi za mbele watamkubali sana. ukweli Kiranga kwa english ya kuandika ni noma sijui ya kuongea.
 


Matusi sana wakati wa mjadala means!!!!!!:A S-omg: :smash: :embarrassed: :blabla: 😡 :A S-frusty: Na hiyo ni kumaanisha :closed_2:
 
Si tabia ya kisomi kutoa hitimisho la jumla. Sidhani kama ni watanzania wote au wengi ukiachia mbali nyinyi mliofanya vibaya. Sisi tuliosomea nje shahada zetu zote hatuna shaka na hili. Hivyo jitahidi kufanya japo research kidogo ili premises za hoja yako ziwe na mashiko
 
Matusi sana wakati wa mjadala means!!!!!!:A S-omg: :smash: :embarrassed: :blabla: 😡 :A S-frusty: Na hiyo ni kumaanisha :closed_2:

Nani kaanza matusi hapa?

We guluguja ulipotelea wapi? Mafuta yaliisha katika kibatari nini? Au credit ya manati?

Kama unataka ligi na mimi hakikisha umejipanga.

Mimi Kiranga wa Mkuranga via Upanga, maneno kama nimechanjiwa kwa waganga
Ukiniparamia ntakurusha kwenye mafedhuli wa Ananga-Ranga.
 

Wanaopendwa huko muliko ni wale wanaojitahidi na bongo zao kuchemka, na siyo english. Mbona wachina wengi wako US na Canada na wanapata scholarship nyingi tu?

Ukisikiliza hiyo english yao utakimbia lakini kwa performance wako juu.
 

One time I was rolling with the hip hop crowd bongo, enzi za Kwanza Unit. Kuna watu kama kina Y-Thang, walikuwa hawajakwenda Marekani wala nini, lakini ukimsikia Y anatema yai hapa unaweza kusema huyu mnyamwezi kashuka kutoka Brooklyn.

Kumbe ni interest tu na let's face it, kuna watu wako more equipped kujifunza vitu kama lugha.

On the same token, kuna watu wengine tunawaona wamekaa kiwanja miaka karibu ishirini kama sio zaidi, lakini lugha mpaka kesho kituo cha polisi.
 

nakushuru mkuu..pengne ungetupa na mwanga kidogo n vtu vp vya msing inabid tuvjue kabxa..japo kuwa me naenda chna ambako kiingereza hawajui xana
 
...mm ntakuwa nafanya hizo presentationz nikiwa nimekunywa pombe kiasi kwan huwa nagonga kmombo kzuri kwa kujiamin nkiwa ktk hali hiyo~pia faida kiafya!! Cko nje ya mada nafikiri.
 
Excuses excuses excuses.....
Ndio kazi ya WaTanzania.
Mengi tunayo yalalamikia yanatokana na mfumo mbovu wa elimu nchini.
Ubovu hauko katika lugha tu, uko katika nyanja zote za elimu na hata zisizohusiana na elimu.


 

Kuna mzee mmoja niko nae katoka visiwa vya akina Bob Marley kaja ulaya 1979 hata sijazaliwa lakini hawezi kuongea kiingereza. I concur with you mate
 
Nchi yetu imeshindwa kufundisha lugha ya kufundishia ikaeleweka,
Si tu kiingeleza.
Leo hata kiswahili wanafunzi wanamaliza hawajui kusoma na kuandika kiswahili.
Hali kadhalika kiingeleza wanafunzi wanaona kama ni kitu kisichofundishika.
KUONYESHA KWAMBA SYSTEM YETU IMESHINDWA,kuna ushahidi
1.miaka ya nyuma kiingeleza halikuwa tatizo kiasi cha wazee wa darasa la nane kuongea kiingeleza barabara kuliko wengi wetu sasa tena wengine wamechanja mbuga mpaka madarasa mengi.MAANA YAKE NI kwamba lugha yoyote ikifundishwa sawasawa inaeleweka kilivyoeleweka kiswahili na kiingeleza huko nyuma kiasi cha watanzania zaidi ya 93% walijua kusoma na kuandika,na lugha yoyote ikifundishwa hovyohovyo haiwezi kueleweka kama sasa kiingeleza kinavyohenyesha wengi,kiswahili nacho kinachopigiwa upatu ni tatizo upande wa shule ya msingi kwa wanafunzi wa kijijini na kuna lugha mama inabidi itumike ndio wanafunzi waelewe na leo WENGI wanamaliza la saba hawajui kusoma na kuandika kiswahili na bila aibu wengine wanachaguliwa fm1,tatzo....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…