watanzania wengi wanatia huruma kwenye presentation chuoni nje ya nchi.

watanzania wengi wanatia huruma kwenye presentation chuoni nje ya nchi.

mkuu iko kiswahili chako kinatia huruma ebu angalia neno kingereza ulivyoandika !! wewe ata ufundishwe kirusi miaka 5 uwezi jua. Unaenda kutia huruma kwenye presentation, pole sana.

Washamba wakipiga vijiumande wanajiona wamefiiiika hongera bwana dictionary yangu ya TUKI inaniambia neno sahihi ni kiingereza na sio kingereza na umbulula wako ione hapa; Kiingereza nm [ki-] English (language)
 
Acheni ushamba...hivi hao wa ulaya wakija kwetu huwa wanajua kishwahili eehh??? Mbona na wao wanatia aibu sana kwenye plizentesheni ze way yu seidi tu azi...umagharibi umekuteka sana...
 
Hahahaha,

Umenikumbusha enzi zangu.

Mwaka wa kwanza nilimletea mzozo Profesa wa Philosophy na kelele za atheism/ far left, mpaka ikawa noma kama nataka ku dominate darasa.

Kila siku ligi darasani, si miswali, mwalimu neocon far right libertarian halafu judge and author, mie super liberal leftie atheist, total opposites. Nikaona huyu siku ya mtihani wa mwisho lazima anifelishe, lakini namtilia ngumu.

Kufika wiki ya mtihani wa mwisho wa semester kaniambia "wewe usije kwenye mtihani, class participation yako ishakupasisha darasa".

Nikamuuliza sasa utanipimaje? Utanipa maksi gani?

Akaniambia ubishi wako wa darasani kila siku na coursework ushapata A kwenye somo langu, ule ubishi ulikuwa umezama kwenye falsafa kubwa kuliko ya darasa hili. Mimi nilikuwa naona ule ubishi kama naharibu, kumbe kinyamwezi mwanafunzi mbishi vile ndio anaonekana anafuatilia mambo. Mwalimu anasema you did your readings, bila kusoma usingekuwa na cha kubisha. Na ulikuwa unatoa classic arguments.

Nikaona kweli mnyamwezi hana hiyana, bongo ukibishana na profesa darasani si anakufelisha kabisa?

Kwa hiyo nashukuru mimi sijawahi kuwa na tatizo la presentation na kujieleza.

Kama kuna wabongo wengi wana tatizo hilo, tupo wengine tunawakilisha.

Ukibishana na mwalimu darasani Bongo unaonekana hauna heshima, they just want you to hear what they have to say ila si what you have to say ili mjadala uwepo na ndiyo maana elimu yetu ina inferiority fulani kiasi kwamba hata a university graduate wa UDSM anashindwa kuji express mbele za watu, yaani full majanga. Majuzi tu hapa alipokuja Obama Kikwete si alichemka kwa maswali ya kitoto mpaka nikamuonea huruma Mkwe.re wa watu jinsi alivyokuwa anazichanganya verbs....ze iz mi, it iz vere, yaani basi tu....majanga!
 
Ukibishana na mwalimu darasani Bongo unaonekana hauna heshima, they just want you to hear what they have to say ila si what you have to say ili mjadala uwepo na ndiyo maana elimu yetu ina inferiority fulani kiasi kwamba hata a university graduate wa UDSM anashindwa kuji express mbele za watu, yaani full majanga. Majuzi tu hapa alipokuja Obama Kikwete si alichemka kwa maswali ya kitoto mpaka nikamuonea huruma ------ wa watu jinsi alivyokuwa anazichanganya verbs....ze iz mi, it iz vere, yaani basi tu....majanga!

Ona dogo anamfundisha mwalimu.

Mtoto wa sekondari akimfundisha mwalimu hivi bongo anafukuzwa shule. Hatufundishwi independent thinking.

Halafu watu wakiwa na mechanical Borg-like thinking tunashangaa.

Wenzetu wanasifia iconoclastic principles. That's one of the things I wanted to point out.

Last edited by a moderator:

Kwa hapa Tanzania huyu anafungwa ama anamwagiwa tindikali, kisa eti anajifanya anajua sana.
 
Last edited by a moderator:
Kwa hapa Tanzania huyu anafungwa ama anamwagiwa tindikali, kisa eti anajifanya anajua sana.

kwa apa tanzania atapigwa majungu na kutengwa. kwa nchi za mbele watamkubali sana. ukweli Kiranga kwa english ya kuandika ni noma sijui ya kuongea.
 
the joke is on you Jack.

Barzun kasoma "War and Peace" twice. Unaweza kusema Barzun is a slow learner. Scratch that, you have to Google Barzun to even know what I am talking about!

What gibberish is this? "kindergatten" "sezondary", learn to spell or something!

WTF are you conyeying here?

Sio tatizo lako, ni ukosefu wa protein ubongoni ukiwa mdogo.

Wewe usiyeweza ku spell utaweza scrutiny? Rudi chekechea kafute kamasi za ubongo.

Usiparamie wanaume, wengine nuts zao zita go loose in your mouth.

Nita hit the bull straight wapi wakati hamna kitu?

Ukiparamia wanaume wata shake of mdomoni mwako.

Wapi nimesema mimi msomi?

Like Luda on steroids, na wewe unabakia kijijini kwako tu.

Unajaribu kwa nguvu sana kuwa kama mimi lakini huwezi, "wetting all table mats with your saliva" ndiyo bad direct translation ya joke gani ya kilugha chenu?

Acha kuparamia wanaume. "Thank you for your time", you sound like a little byach caught up between hating and thanking Kiranga.

Matusi sana wakati wa mjadala means!!!!!!:A S-omg: :smash: :embarrassed: :blabla: 😡 :A S-frusty: Na hiyo ni kumaanisha :closed_2:
 
Si tabia ya kisomi kutoa hitimisho la jumla. Sidhani kama ni watanzania wote au wengi ukiachia mbali nyinyi mliofanya vibaya. Sisi tuliosomea nje shahada zetu zote hatuna shaka na hili. Hivyo jitahidi kufanya japo research kidogo ili premises za hoja yako ziwe na mashiko
 
Matusi sana wakati wa mjadala means!!!!!!:A S-omg: :smash: :embarrassed: :blabla: 😡 :A S-frusty: Na hiyo ni kumaanisha :closed_2:

Nani kaanza matusi hapa?

We guluguja ulipotelea wapi? Mafuta yaliisha katika kibatari nini? Au credit ya manati?

Kama unataka ligi na mimi hakikisha umejipanga.

Mimi Kiranga wa Mkuranga via Upanga, maneno kama nimechanjiwa kwa waganga
Ukiniparamia ntakurusha kwenye mafedhuli wa Ananga-Ranga.
 
kwa ambao mmeenda chuo na mnaotarajia kwenda chuo nje ya Tanzania naomba mkazane sana kwenye English ya kuongea na kuandika.
nilishuhudia watu toka tanzania wakitia sana huruma kwenye presentation. wanaongea english mbovu sana adi inapelekea wakose ujasiri wa kusimama mbele.
jambo ilo lilinisikitisha sana kwa mtanzania kushindwa wakat wengine niliosoma nao toka china. mexico, said arabia, qatar,malaysia etc walikuwa wanajitaid japo walifundishwa secondary kwa lugha zao za ndani.
wito wangu kwa mnaosoma na mnaoenda chuo. English ni lazima ujue

Wanaopendwa huko muliko ni wale wanaojitahidi na bongo zao kuchemka, na siyo english. Mbona wachina wengi wako US na Canada na wanapata scholarship nyingi tu?

Ukisikiliza hiyo english yao utakimbia lakini kwa performance wako juu.
 
Si tabia ya kisomi kutoa hitimisho la jumla. Sidhani kama ni watanzania wote au wengi ukiachia mbali nyinyi mliofanya vibaya. Sisi tuliosomea nje shahada zetu zote hatuna shaka na hili. Hivyo jitahidi kufanya japo research kidogo ili premises za hoja yako ziwe na mashiko

One time I was rolling with the hip hop crowd bongo, enzi za Kwanza Unit. Kuna watu kama kina Y-Thang, walikuwa hawajakwenda Marekani wala nini, lakini ukimsikia Y anatema yai hapa unaweza kusema huyu mnyamwezi kashuka kutoka Brooklyn.

Kumbe ni interest tu na let's face it, kuna watu wako more equipped kujifunza vitu kama lugha.

On the same token, kuna watu wengine tunawaona wamekaa kiwanja miaka karibu ishirini kama sio zaidi, lakini lugha mpaka kesho kituo cha polisi.
 
kwa ambao mmeenda chuo na mnaotarajia kwenda chuo nje ya Tanzania naomba mkazane sana kwenye English ya kuongea na kuandika.
nilishuhudia watu toka tanzania wakitia sana huruma kwenye presentation. wanaongea english mbovu sana adi inapelekea wakose ujasiri wa kusimama mbele.
jambo ilo lilinisikitisha sana kwa mtanzania kushindwa wakat wengine niliosoma nao toka china. mexico, said arabia, qatar,malaysia etc walikuwa wanajitaid japo walifundishwa secondary kwa lugha zao za ndani.
wito wangu kwa mnaosoma na mnaoenda chuo. English ni lazima ujue

nakushuru mkuu..pengne ungetupa na mwanga kidogo n vtu vp vya msing inabid tuvjue kabxa..japo kuwa me naenda chna ambako kiingereza hawajui xana
 
...mm ntakuwa nafanya hizo presentationz nikiwa nimekunywa pombe kiasi kwan huwa nagonga kmombo kzuri kwa kujiamin nkiwa ktk hali hiyo~pia faida kiafya!! Cko nje ya mada nafikiri.
 
Excuses excuses excuses.....
Ndio kazi ya WaTanzania.
Mengi tunayo yalalamikia yanatokana na mfumo mbovu wa elimu nchini.
Ubovu hauko katika lugha tu, uko katika nyanja zote za elimu na hata zisizohusiana na elimu.

Je kujua kizungu ndio kusoma?mbona mfanyakazi wetu wa ngombe anajua kingereza ila yeye ni raia wa kenya je unaweza kumpa office kwa sababu ya lugha?kujua lugha kwa ufasaha(umahiri) ni kazi ngumu sana ,kwa watanzani lugha mama ni kibantu,lugha ya pili ni kiswahili au kingereza je unadhani mtu huyu ataweza kufahamu kingereza kama anavyofaham lugha lake ya kwanza? Kujua lugha haina haja ya kujifunza darasani ila mazingira ndio yatakayo kufanya kuifahamu lugha kwa ufasaha,kinachokwamisha tanzania kutokuijua lugha zote mbili kwa ufasaha mazingira hayaruhusu.
 
One time I was rolling with the hip hop crowd bongo, enzi za Kwanza Unit. Kuna watu kama kina Y-Thang, walikuwa hawajakwenda Marekani wala nini, lakini ukimsikia Y anatema yai hapa unaweza kusema huyu mnyamwezi kashuka kutoka Brooklyn.

Kumbe ni interest tu na let's face it, kuna watu wako more equipped kujifunza vitu kama lugha.

On the same token, kuna watu wengine tunawaona wamekaa kiwanja miaka karibu ishirini kama sio zaidi, lakini lugha mpaka kesho kituo cha polisi.

Kuna mzee mmoja niko nae katoka visiwa vya akina Bob Marley kaja ulaya 1979 hata sijazaliwa lakini hawezi kuongea kiingereza. I concur with you mate
 
Nchi yetu imeshindwa kufundisha lugha ya kufundishia ikaeleweka,
Si tu kiingeleza.
Leo hata kiswahili wanafunzi wanamaliza hawajui kusoma na kuandika kiswahili.
Hali kadhalika kiingeleza wanafunzi wanaona kama ni kitu kisichofundishika.
KUONYESHA KWAMBA SYSTEM YETU IMESHINDWA,kuna ushahidi
1.miaka ya nyuma kiingeleza halikuwa tatizo kiasi cha wazee wa darasa la nane kuongea kiingeleza barabara kuliko wengi wetu sasa tena wengine wamechanja mbuga mpaka madarasa mengi.MAANA YAKE NI kwamba lugha yoyote ikifundishwa sawasawa inaeleweka kilivyoeleweka kiswahili na kiingeleza huko nyuma kiasi cha watanzania zaidi ya 93% walijua kusoma na kuandika,na lugha yoyote ikifundishwa hovyohovyo haiwezi kueleweka kama sasa kiingeleza kinavyohenyesha wengi,kiswahili nacho kinachopigiwa upatu ni tatizo upande wa shule ya msingi kwa wanafunzi wa kijijini na kuna lugha mama inabidi itumike ndio wanafunzi waelewe na leo WENGI wanamaliza la saba hawajui kusoma na kuandika kiswahili na bila aibu wengine wanachaguliwa fm1,tatzo....
 
Back
Top Bottom